...wa kuheshimiwa nani? kakobe?!
Ipo siku Utamuheshimu tu.
...wa kuheshimiwa nani? kakobe?!
WanaJF,
Ndugu yangu HAMY-D na wengine wote. Nawashauri mchangie hoja na sio kumtukana Askofu Kakobe. Mimi binafsi sio muumini wake ila najua kuwa ana waombaji waliojitolea wa kutosha na wanamuamini acha.
Epuka vita na vikundi vya maombi hasa wapentekostel, acha kabisa yatakayokukuta ndugu yangu hakuna atakayekusaidia. Aidha kujua kuwa ni kweli ameambiwa na Mungu au la sio kazi yako.
Naomba umuombe radhi Askofu Kakobe na wote waliomtukana kabla MABAYA hayajawapata. Pitia pale kwao ukaone wanavyoporomosha maombi (mh!) kwaheri.
Queen Esther
Lini ataheshimika wakati kila siku anazidi kuchuja, hata chadema wenyewe wameshamshtukia.Ipo siku Utamuheshimu tu.
eeh! KINYWA CHAKO KIMEJAA KASHIFA NA MATUSI, HARAFU UNAJIFANYA MTETEZI WA MUNGU, KENGE JIKE WEWE.
Exactly, kama ukikosea kufuata utaratibu haki yako inapotea na kwenda kwa mwingine. Katika dunia hii fursa ni chache sana, zinagombaniwa, sasa utawezaje ku-afford kukosea taratibu ndugu!?
Nenda kafanye tafiti huko vyuoni na maeneo mengine kaulize ni changamoto gani walikumbana nazo. Wengi watakwambia nimekosa mkopo wa kunisomesha kwa kuwa alikosea utaratibu.
Mwingine amekosa ajira ambayo alistahili kuipata kwa kuwa tu amekosea kufuata utaratibu. Mwingine amekosa promotion kazini kwa kuwa tu akufuata utaratibu, mwingine amekosa uraia kwa kuwa hakufuata utaratibu. Mwingine haki yake ya kuishi inapotea kwa kuwa tu akufuata utaratibu. Mifano ipo mingi sana.
Ndugu sema lini utamuheshimu siyo lini ataheshimika,Maana wapo wanaomweshimu kwa sasa ila wewe si mmoja waoLini ataheshimika wakati kila siku anazidi kuchuja, hata chadema wenyewe wameshamshtukia.
enhe!, WEWE UNAONEKANA UNASOMA BIBLIA KWA KUKALILI VIFUNGU TU, SASA NAKUPA USHAURI WA BURE, SOMA BIBLIA VIZURI KWA UMAKINI NA UILEWE VIZURI NA MAANA YAKE NINI KWA KILA KIFUNGU UNACHOSOMA. KWA MFANO HIVYO VIFUNGU ULIVYOVITAJA MAANA YAKE NINI KWA MAISHA YAKO WEWE YA KILA SIKU?.Nikupe pole kwanza Farisayo usiojua NENO la MUNGU.kwa faida yako soma Mithali 19:1.alafu utajua umeuambia huo mstari kuwa ni Kenge Jike.nikusaidie maana nahisi hata Biblia huna[Mithali 19;1.Imeandikwa hivi. Afadhali maskini aendaye katika Unyofu wake,Kuliko mpotofu wa midomo aliye M-p-u-m-b-a-v-u]
enhe!, WEWE UNAONEKANA UNASOMA BIBLIA KWA KUKALILI VIFUNGU TU, SASA NAKUPA USHAURI WA BURE, SOMA BIBLIA VIZURI KWA UMAKINI NA UILEWE VIZURI NA MAANA YAKE NINI KWA KILA KIFUNGU UNACHOSOMA. KWA MFANO HIVYO VIFUNGU ULIVYOVITAJA MAANA YAKE NINI KWA MAISHA YAKO WEWE YA KILA SIKU?.
Mkuu hii mifano yako haijibu hoja hii ................ na haki huwa haiombwi. Anyway, kwenye bunge la katiba kulikuwa na groups mbalimbali za uwakilishi. Haiingii akilini group moja kunyimwa uwakilishi kwa kukosea/kushindwa kufuata utaratibu. Unless unataka walikataa makusudi. Kama hizo nafasi zilitolewa kwa mujibu wa katiba basi ingebidi hiyo nafasi ibaki wazi. Ebu tuambie hiyo nafasi limepewa group gani na kwa sabau gani!! Maana kila group lilikuwa na nafasi yake/zake!!
Umempa elimu pana sana.maana ni kweli Kilichozaliwa na mwili ni mwili na kilichozaliwa na roho ni roho na mambo ya rohoni ujulikana na walio rohoni.Ni rahisi kumuona mtu mjinga au -------- kumbe ukawa hujausoma waraka kwa kina na kuuelewa kwa kina, matokeo yake wewe ndio ukawa mjinga au --------! Paulo aliyekuwa Sauli katika Biblia alisema ni ngumu mno kuyafahamu mambo ya Rohoni, kati ya watu ambao pia hawayajui mambo ya rohoni ni wewe Hamy-D, kwa hiyo huwezi kuyaongelea kama yamekua magumu kwako, huwezi kukurupuka tu ukaja eti unatuongelea Watanzania wote, na zaidi sana unaisemea Ikulu kanakwamba wewe ni msemaji! Katika waraka wa Kakobe baadhi ya maneno yake kasema, alimuomba Mungu na MUNGU NDIO AKAZUNGUMZA NAE YALE MANENO ALIOANDIKA KWA RED. Sasa wewe umemuomba Mungu akakueleza kuwa aliyoandika Kakobe ni UONGO? MAMBO YA ROHONI WAACHIE WA ROHONI! Usikurupuke tu
Upotofu wako wa midomo uko hapa Uliposema Kakobe tapeli. thibitisha alichokutapeli Askofu Kakobe amekutapeli nini?Na kukusaidia Neno Logosi alina Ufafanunuzi kama Neno Rhema.ilo Neno la Mithali 19;1 ni logosi kama vile Neno Usiibe,Usizini au Usiue.
Kwanza nikupongeze kwa kuwa muungwana kwa kuuliza swali kwa yale usiyo yafahamu tofauti na wanaJF wengine.
Pili nikusahihishe, sio katiba ambayo imetoa hayo makundi, bali ni sheria ya mabadiliko ya katiba ndio imetoa makundi yatakayo husisha wale wajumbe 201.
Kwa upande wa wapentekosti wao wana angukia kwenye kundi la taasisi za kidini ambalo ndani yake lina wajumbe 20. Sasa wote tunajua idadi ya taasisi za kidini nchini na kila taasisi inataka ipeleke wawakilishi wake, sasa huoni michuano hiyo. Kwa ufupi ni kwamba serikali haikuweka taasisi gani ipewe au nini, yenyewe ilichagua wawakilishi kwa kigezo cha uombaji na kila dhehebu lisizidishiwe wawakilishi wawili.
aisee, NIMEGUNDUA HUJUI KITU, KAA KIMYA KABISA NA USIENDELEE NA MJADALA HUU WA KIPUMBAVU.Upotofu wako wa midomo uko hapa Uliposema Kakobe tapeli. thibitisha alichokutapeli Askofu Kakobe amekutapeli nini?Na kukusaidia Neno Logosi alina Ufafanunuzi kama Neno Rhema.ilo Neno la Mithali 19;1 ni logosi kama vile Neno Usiibe,Usizini au Usiue.
Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akigandishwa kwenye zile nguzo ambazo wewe na watu wenye akili kama yako mnasema hazipitishi umeme.
Kakobe ni vuvuzela la muda mrefu sana, nashangaa kwanini hilo hamlioni.