Acha ukutafuta umaarufu wa kijinga wewe kwani we ni msemaji wa Ikulu au ccm? we endelea na mambo yako ? chuki zako binafsi na kakobe ndiyo zimekufanya uandike haya. hovyooooKumbukumbu zangu zinaniambia kuwa hakukuwa na swali lolote linalohusu dhehebu ya mtu kwenye maswali ya sensa. Sasa sijui ni jedwali gani unalo lizungumzia.
Kuhusu kuvunjwa kwa sheria: hivi kwanini tuna bishana kitu ambacho baraza la maaskofu wenyewe wamekiri kuwa wao ndio wenye makosa kwa kutokujua kwao matakwa ya sheria na kuwapelekea kutuma majina yao kiholela holela hivyo kukosa wa kuwawakilisha. Hili mbona lipo wazi na hata uki-google taarifa yao utaiona ya kukiri makosa.
Wewe kakutapeli nini? mpaka umwite tapeliKakobe alikuwa anakusanya vitu vya thamani kama vile mikufu ya dhahabu kutoka kwa waumini wake kwa kuwadanganya kuwa Mungu amemuotesha kuwa mikufu si vyema kuvaliwa na wanaadamu hivyo ni laana kuvaa. Ila mpaka leo hakuna anaejua mikufu hiyo kapeleka wapi. Sasa kuna jina lingine kwa mtu wa aina ya Kakobe zaidi ya tapeli?
Naona ujathibitisha alichokutapeli Askofu Kakobe.Lawama hupenya moyoni mwa mwenye Ufahamu,Kuliko mapigo mia moyoni mwa m-p-u-m-b-a-v-u.aisee, NIMEGUNDUA HUJUI KITU, KAA KIMYA KABISA NA USIENDELEE NA MJADALA HUU WA KIPUMBAVU.
Acha ukutafuta umaarufu wa kijinga wewe kwani we ni msemaji wa Ikulu au ccm? we endelea na mambo yako ? chuki zako binafsi na kakobe ndiyo zimekufanya uandike haya. hovyoooo
WanaJF,
UZEMBE NI WA NANI MPAKA PCT IMEKOSA MWAKILISHI BUNGE LA KATIBA?
Ndugu zangu, hili suala limeshatolewa ufafanuzi na Ikulu na Watanzania wakaridhika maana kabla ya ufafanuzi Watanzania walikuwa wame-panic kuwa PCT imeonewa na kudhurumiwa haki yao ya kushiriki kuandaa katiba.
Ufafanuzi ulisema kwamba, baraza la maaskofu alikufuata maelekezo ya sheria katika kuwasilisha mapendekezo yao ya wawakilishi.
Jambo ambalo PCT walikosea ni kujipendekeza kama watu binafsi badala ya kuwa kwenye makundi kama ambavyo sheria ilielekeza. Hivyo serikali haikuwa na budi bali kupiga majina ya PCT kapuni na kupelekea wapentekosti kukosa mwakilishi.
Hivyo hapa mtajionea kuwa kosa lilikuwa la PCT na sio serikali.
KUANDIKWA KWA WARAKA IKULU:
Baada ya maelezo ya serikali kutolewa, baraza la maaskofu liliridhia kuwa wao ndio hawakufuata maelekezo ya sheria hivyo kukiri kuwa walikosea pia walitoa taarifa kwa umma kuwa wameelewana na serikali kuhusu sakata lao.
Lakini ghafla Watanzania tumeshangazwa na Kakobe ambae amejitokeza na kumuandika mhe. Rais ujumbe uliojaa vitisho na mambo mengi ya kusadikika.
Kusema ukweli hili ni jambo la ajabu, sijui Kakobe kakurupuka au vipi, maana kuhusu Pentekosti kukosa mwakilishi tayari Ikulu imelimaliza na aliyefanya kosa la kukosekana kwa mwakilishi wao kwenye bunge ni hao PCT wenyewe.
Sasa Kakobe tatizo lake hapa ni nini!? Nini ambacho hajakielewa katika ufafanuzi wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu kuhusu hili suala!?
Nitoe angalizo kwa Kakobe: kama Kakobe alitaka arudishe umaarufu wake uliotoweka kupitia huu waraka, basi amepotoka big time.
Watanzania sio wajinga kama ambavyo Kakobe anadhani. Kama Kakobe alifanikiwa kudanganya baadhi ya Watanzania na kuweza kujitajirisha, basi asidhani kama ataweza kutudanganya Watanzania wote.

Unaposema Ikulu ujue kabisa una maanisha jumba la Watanzania. Hivyo usidhani pale ni kwa Kikwete, lah hasha. Kila Mtanzania ana haki ya kuonyesha na kueleza hisia zake juu ya mambo ya kitaifa, ikiwemo hili.
Kuhusu idadi ya Wapentekosti: hata wangekuwa million 40, ila kama hawakufuata maelekezo na matakwa ya sheria isinge leta tofauti yoyote. Majibu yangekuwa ni hayo hayo waliyo jibiwa.
Kwa maana hiyo basi, namba na idadi yao isiwape uhalali wa wao kupuuza maelekezo ya sheria. Ingawa personally I doubt hata kama wapentekosti wanafika millioni moja.
Mungu gani anaombwa na mvaa hirizi na pete za kishetani kujifanya anamiujiza? Mnadhani Mungu ni wakudanganywadanganywa?
Kakobe ni mpuuzi kama walivyowapuuz wengine na ndiyo maana Rais Kikwete amempuuza.
Mtumishi wa Mungu alisema atazuia umeme usipite kwenye kanisa lake mbona umepita?
Unaposema Ikulu ujue kabisa una maanisha jumba la Watanzania. Hivyo usidhani pale ni kwa Kikwete, lah hasha. Kila Mtanzania ana haki ya kuonyesha na kueleza hisia zake juu ya mambo ya kitaifa, ikiwemo hili.
Kuhusu idadi ya Wapentekosti: hata wangekuwa million 40, ila kama hawakufuata maelekezo na matakwa ya sheria isinge leta tofauti yoyote. Majibu yangekuwa ni hayo hayo waliyo jibiwa.
Kwa maana hiyo basi, namba na idadi yao isiwape uhalali wa wao kupuuza maelekezo ya sheria. Ingawa personally I doubt hata kama wapentekosti wanafika millioni moja.
HAMY-D Completely... Hapo nakuunga mkono 100%
Siasa na DINI ni vitu viwili mbalimbali --- SERIKALI YA NCHI HII HAINA DINI... kwahiyo walichofanya ni kwa BENEFIT ya NCHI na sio DINI...
Ccm haiwezi kufa kwa dua ya kuku kama Kakobe. Labda aombe majini yake pekee ndio yanaweza toa miujiza ya viinimacho lakini si Mungu wetu aliyetukuka.
Nakushauri HAMY-D, uachane na Mtumishi wa Mungu Kakobe, ile ni habari nyingine. Walikuwepo wenzako waliojaribu kujifanya wanajua na kuanza kushindana na huyo mtu, wakaishia kubaya. Hatupendi na wewe uishie kubaya, kama huamini endelea na maneno yako ya kejeli,utaona mwisho wake.
Kuhusu umeme wa TANESCO, wewe unaishi Tanzania ipi? Kama huamini kwamba umeme haujapita pale basi jaribu kufuatilia huko TANESCO ukawaulize akina Badra Masoud watakueleza yaliyotokea na utaujua ukweli.
Hatukulazimishi kwamba umwamini Kakobe kuwa ni Mtumishi wa Mungu aliye hai lakini tunakushauri na kukuonya kwasababu tunakupenda. Maneno yako maovu dhidi yake utayatolea hesabu. Chunga ulimi wako.
Kakobe ni mpuuzi kama walivyowapuuz wengine na ndiyo maana Rais Kikwete amempuuza.
Mpuuzi humpuuza mpuuzi mwenzie sasa nani mpuuzi
Kweli wewe ni uneducated. Hivi Kikwete ni nani kwetu!? Hujui kuwa ni rais wetu sote? Sasa kweli maamuzi yake anayo yafanya huoni kama yana muathiri kila mwananchi?
Kama ungefanikiwa ku-attend vipindi vichache vya civics ya kidato cha pili usinge andika hizo pumba hapo. Ila sikulaumu, cha msingi urudi shule ukaondoe ujinga mkuu.
haa! haa! haa! haaaaaa! yaani we jamaa lazima una faili pale milembe , sasa hicho kinachokufanya ufule ni kitu gani? kwani ccm ni chama cha ukoo wenu ebo! hata nyerere alikikana akasema hakudhaliwa nacho sembuse wewe Juha! unaedandia gari kwa mbele??? ua we unafanya kazi ikulu??? na kama unafanya kazi Ikulu itakuwa ni kazi ya kurisha ndege wale kasuku . ahaaaa ! ahaaaaaaa we tulia kama unanyolewa usubiri maneno ya askofu yatimie.Nitafute umaarufu kupitia Kakobe kwa hii fake ID!? U must be insane.