Toa ndugu,toa ndugu,ulicho nacho!Kuna siku nilikua Dodoma mitaa ya safina pale karibu na temple ya Hindu mandal
Kuna wadada wawili walikua wameketi hapo nje ya Ile temple Kuna kama chemba iv
Mmoja kati Yao alikua ana mtoto mchanga kambeba lakini kamgeuzia mbele
Basi bwana wakaniita ,nikasogea pale wakaniambia wanaomba niwasaidie naul sijui wametoka singida sijui wanaoenda wapi, wameishiwa nauli mara mtoto hajala tangu asubuhi
Kiukweli wanatia huruma the way wanaongea
Nikaingia mfukon nikaangalia chenchi iliokua imebaki, nikawapa tukaachana
Ikapita siku tatu nikaja kukutana nao hospital ya makole, wale wale vile vile na mtoto wao
Wamenisahau kbsa kama waliwahi kunipiga mznga, wakaniita tena wakajieleza vile vile, nikawajibu ndg Zang Leo sina ela sikutaka mambo yawe mengi
Ila sijui dodoma Kuna namna gani ukiachana na hawa nimewah kukutana na vijana tofauti tofauti maeneo tofauti,
Unakuta kijana yupo smart kbsa kapendeza anakusimamisha, unadhani labda mgeni anataka akuulize sehem hapajui unamsikiliza kumbe anakupiga mzinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toa ndugu,toa ndugu,ulicho nacho!
na bwana anakuona mpaka rohoni mwako wimbo huu umejaa biti hatari..Toa ndugu,toa ndugu,ulicho nacho!
Utapeli ndo ulianzia huko kitambo🤣🤣🤣🙌na bwana anakuona mpaka rohoni mwako wimbo huu umejaa biti hatari..
Wafe na system zao!Watu wa system hao kuwa makini
😂Wafe na system zao!
Bwana anakuonaa mpaka rohoni mwakoToa ndugu,toa ndugu,ulicho nacho!
Fafanua tukuelewe!Nimepita Dodoma wiki iliyopita. Nilikuwa na stopover ya masaa 8 kabla ya kuendelea na safari, nikaona nimtafute mwenyeji anisaidie kufanya utalii wa ndani kwa masaa haya nane.... Du! .... Kumbe Dodoma bado sana jamani... Ndio maana nanihii na ukoo wake wote hawakai huku hata wiki moja ikaisha. Ni majanga!!
Sio Dodoma tu ni kila mahali, kuna enzi nipo Kibaha jamaa anakuja na form ya kuchangiwa na ya matibabu kila mara ana kidonda kibichi kichwani. Unajiuliza huyu mtu haponagi?Kuna siku nilikua Dodoma mitaa ya safina pale karibu na temple ya Hindu mandal
Kuna wadada wawili walikua wameketi hapo nje ya Ile temple Kuna kama chemba iv
Mmoja kati Yao alikua ana mtoto mchanga kambeba lakini kamgeuzia mbele
Basi bwana wakaniita ,nikasogea pale wakaniambia wanaomba niwasaidie naul sijui wametoka singida sijui wanaoenda wapi, wameishiwa nauli mara mtoto hajala tangu asubuhi
Kiukweli wanatia huruma the way wanaongea
Nikaingia mfukon nikaangalia chenchi iliokua imebaki, nikawapa tukaachana
Ikapita siku tatu nikaja kukutana nao hospital ya makole, wale wale vile vile na mtoto wao
Wamenisahau kbsa kama waliwahi kunipiga mznga, wakaniita tena wakajieleza vile vile, nikawajibu ndg Zang Leo sina ela sikutaka mambo yawe mengi
Ila sijui dodoma Kuna namna gani ukiachana na hawa nimewah kukutana na vijana tofauti tofauti maeneo tofauti,
Unakuta kijana yupo smart kbsa kapendeza anakusimamisha, unadhani labda mgeni anataka akuulize sehem hapajui unamsikiliza kumbe anakupiga mzinga
Bado Sana Wanajitafuta SanaNimepita Dodoma wiki iliyopita. Nilikuwa na stopover ya masaa 8 kabla ya kuendelea na safari, nikaona nimtafute mwenyeji anisaidie kufanya utalii wa ndani kwa masaa hayo nane.... Du! .... Kumbe Dodoma bado sana jamani... Ndio maana nanihii na ukoo wake wote hawakai huku hata wiki moja ikaisha. Ni majanga!!
Kanisani sina hela kirabuni leta pombe kwenye minyama manoti Bwana anakuona😂😂😂😂na bwana anakuona mpaka rohoni mwako wimbo huu umejaa biti hatari..