Omba Mungu usifike huku

Omba Mungu usifike huku

Gereza nyoko sana lile .kuna jamaa alileta mambo yakishoga anataka kuliwa alipigwa nusu afe ashukuru askari magereza walimuwahi siku zile.kule ukihisiwa tu una mambo ya kichoko umekwisha .wanakauli mbiu yao" UANAUME KWANZA" nimekaa 2015-2021
Mmmh mkuu tunaomba kisa kidogo hapo
 
NEXT.........
Mpaka leo sielewi nilikamatikaje na siJui walijuaje nipo eneo hilo SIJUI kiukweli Nilikua maeneo ya mianzini kuna BAR iko pale inauza mbuzi choma,mimi huwa ni mpenzi sana wa Mbuzi choma basi ni kawa pale nimetoa oda yangu huku nimeagiza kinywaji changu naendelea kushusha na ki cm changu nachati mdogo mdogo.

Mara akatokea jamaa mmoja akanisalimia SAM mambo! nikamjibu POA ila moyo ulipiga PAAAH kabla sijashangaa vizuri akaja mwingine akanisalimia kisha akaniambia wewe ndio SAM nikamwambia ndio. akanitolea kitambulisho chake akanambia tunakuhitaji kituo oha polisi.

Basi alivyontajia vile sikua hata nashangaa kimoyo moyo nilishajua ile kesi yangu ndio imenikamatisha basi nikatulia wakanipakia kidaladala badara ya kunpeleka CENTRAL umkanipeleka kituo cha USA RIVEQ (wale wa arusha mnapajua ni nJe ya mji kbsa) basi kufikishwa kule kuna Askari mmoja aliponiona akasema HAKA ndio mlikua mnakatafuta kama Jitu kuuuubwaaaa ? basi wa kantisha kadri wawezavyo kisha nikakalishwa chini nikaambiw vua mkanda, vua viatu,kabidhi vitu kaunta andikisha. . Nikafanya hivyo kisha wakaniingiza Lock up.

kuingia lock up nilikaa pale kama siku 7 hivi mpka mkuu wa kituo akawa anasema huyu młoto ana kesi gani huku hamumpeleki mahakamani? wakamwelezea kesi yake haipo hapa ipo Morogoro ila kakamatiwa huku,akawauliza sasa mnamlisha nini siku zote mnamlaza huku? basi mengine sikuyasikia waliendelea ongea huko wenyewe,ila kesho yake asubuhi lilikuja karandinga la kuchukua watu kupeleka mahakamani namimi nikachukuliwa kuingia ndani ya ila kufika mahakamani jina langu halikuitwa.. baada ya hapo watu wote wakaenda safari ya kwenda KISONGO (kisongo ndio ma gereza ya Arusha ilipo kwa msio jua) ikaanza.

NEXT..........................
 
Gereza nyoko sana lile .kuna jamaa alileta mambo yakishoga anataka kuliwa alipigwa nusu afe ashukuru askari magereza walimuwahi siku zile.kule ukihisiwa tu una mambo ya kichoko umekwisha .wanakauli mbiu yao" UANAUME KWANZA" nimekaa 2015-2021
Napitaga pale wkt naenda miwangani Idete, ila lile gereza la Kilimo.
 
Back
Top Bottom