Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,714
- 863,613
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jamaa mmoja wa barabara ya 11 Tanga mjini aitwaye Omary amejikuta kwenye kadhia ya ajabu ya kukata viuno kila anaposalimiwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu
Omary hivi sasa kila anopoongea na mtu anakata viuno mithili ya feni bovu, hali hiyo imemfanya apewe jina la Omary mauno ambaye ameacha kabisa kuvaa suruali anavaa kanzu tuu
Mbali na hilo Omary amesema hali hiyo ya kukata viuno miuno imemchosha na huwa mbaya zaidi anapoketi hutumia nguvu nyingi kuepusha kiuno kisikatike automatically
Kutokana na hali hiyo Omary mauno amelazimika kujifungia ndani mara kwa mara na kutojibu salam yoyote kuhofia kukata viuno miuno... Amekuwa mpweke na aliyejitenga kabisa
NB: ndugu zangu members wa JF mliopo Tanga chondechonde na vimwana wa huko wana wenyewe...hatutaki mrudi Dar mnavibrate katikati kila tukiwasalimia