Omary mauno wa Tanga mjini barabara ya 11

Omary mauno wa Tanga mjini barabara ya 11

Katika hali isiyokuwa ya kawaida jamaa mmoja wa barabara ya 11 Tanga mjini aitwaye Omary amejikuta kwenye kadhia ya ajabu ya kukata viuno kila anaposalimiwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu
Omary hivi sasa kila anopoongea na mtu anakata viuno mithili ya feni bovu, hali hiyo imemfanya apewe jina la Omary mauno ambaye ameacha kabisa kuvaa suruali anavaa kanzu tuu
Mbali na hilo Omary amesema hali hiyo ya kukata viuno miuno imemchosha na huwa mbaya zaidi anapoketi hutumia nguvu nyingi kuepusha kiuno kisikatike automatically
Kutokana na hali hiyo Omary mauno amelazimika kujifungia ndani mara kwa mara na kutojibu salam yoyote kuhofia kukata viuno miuno... Amekuwa mpweke na aliyejitenga kabisa

NB: ndugu zangu members wa JF mliopo Tanga chondechonde na vimwana wa huko wana wenyewe...hatutaki mrudi Dar mnavibrate katikati kila tukiwasalimia

Hii inaweza kua post bora ya mwaka 2015 au tangu jukwaaa hili lianze
 
Mauno mauno wake za watu sumu nyumba ndogo ni Death warrant
 
Omary maun0, brbr ya 11 ipi? Maana hata mimi nipo ya 11 hpa
 
Hahahaaaa mshana jr kuwa makini; usijesababisha mabinti wa JF wakatoweka jamvini ghafla!!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha..atakufa beib..
Huyu ni kumtengua kiuno...tuu, tena sio kicheze akiwa anaongea ila akiwa anatype maandish kwenye cim

Cc mshana jr

Hahhahaaaaa hahhahaaaaa hahhahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Si aende kwa huyo mwenye mke akamuangukie? Mbona mambo hayo yapo tu.
 
Back
Top Bottom