Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,184
- 111,129
Fanya kumtafuta ujaribu...
mhmhmhmh kwahiyo akifanya mapenzi inakuwaje hiyo miuno feni.......
mhmhmhmh kwahiyo akifanya mapenzi inakuwaje hiyo miuno feni.......
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jamaa mmoja wa barabara ya 11 Tanga mjini aitwaye Omary amejikuta kwenye kadhia ya ajabu ya kukata viuno kila anaposalimiwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu
Omary hivi sasa kila anopoongea na mtu anakata viuno mithili ya feni bovu, hali hiyo imemfanya apewe jina la Omary mauno ambaye ameacha kabisa kuvaa suruali anavaa kanzu tuu
Mbali na hilo Omary amesema hali hiyo ya kukata viuno miuno imemchosha na huwa mbaya zaidi anapoketi hutumia nguvu nyingi kuepusha kiuno kisikatike automatically
Kutokana na hali hiyo Omary mauno amelazimika kujifungia ndani mara kwa mara na kutojibu salam yoyote kuhofia kukata viuno miuno... Amekuwa mpweke na aliyejitenga kabisa
NB: ndugu zangu members wa JF mliopo Tanga chondechonde na vimwana wa huko wana wenyewe...hatutaki mrudi Dar mnavibrate katikati kila tukiwasalimia
Pangaaa?
Bado zamu yako....
Aaaaahhhaa... Hii story mbona ni ya zamani .. Kwa maana I lived there before close of the street not far from barabara 11 . But this lesson for who love to have a plan B..( aka kuchepuka na wake za watu). So be careful . Thanks
Itakuwa ni kama panga boi bovu....
Aaaaahhhaa... Hii story mbona ni ya zamani .. Kwa maana I lived there before close of the street not far from barabara 11 . But this lesson for who love to have a plan B..( aka kuchepuka na wake za watu). So be careful . Thanks
mhmhmhmh kwahiyo akifanya mapenzi inakuwaje hiyo miuno feni.......
Pangaaa?
Hahaha hivi umefikiria huko fasta
Unaandika lakini?