Omary mauno wa Tanga mjini barabara ya 11

Omary mauno wa Tanga mjini barabara ya 11

msaidie mshana jr kuthibitisha kama hii story ni ya kweli!..mi naishi barabara ya 12 na sijawahi isikia!

Myself nilihadisiwa and I heard from other people .Let's call my dearest MamaFB to come here and confirm it to us . Dear Barabara 12 IPI unaoishi Wewe kwa maana huo was my hood .. I lived there . Thanks.
 
Last edited by a moderator:

mamafacebook em kuja kipande hii mara moja..
Dear loveissweet karibu tena nyumbani!...Thanks(hahahahahaha.,nimeiba kidogo maneno yako!)
 
Last edited by a moderator:
namimi naanzisha ya kutoswa, demu akinitosa tu!!
anakuwa anatongoza kila kondakta wa daladala...

Hiyo balaa, na makonda wanavyojua kutukana ukishawaignore......hatarii
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida jamaa mmoja wa barabara ya 11 Tanga mjini aitwaye Omary amejikuta kwenye kadhia ya ajabu ya kukata viuno kila anaposalimiwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu
Omary hivi sasa kila anopoongea na mtu anakata viuno mithili ya feni bovu, hali hiyo imemfanya apewe jina la Omary mauno ambaye ameacha kabisa kuvaa suruali anavaa kanzu tuu
Mbali na hilo Omary amesema hali hiyo ya kukata viuno miuno imemchosha na huwa mbaya zaidi anapoketi hutumia nguvu nyingi kuepusha kiuno kisikatike automatically
Kutokana na hali hiyo Omary mauno amelazimika kujifungia ndani mara kwa mara na kutojibu salam yoyote kuhofia kukata viuno miuno... Amekuwa mpweke na aliyejitenga kabisa

NB: ndugu zangu members wa JF mliopo Tanga chondechonde na vimwana wa huko wana wenyewe...hatutaki mrudi Dar mnavibrate katikati kila tukiwasalimia

Na bado hiyo ni trela tu mchezo wenyewe bado
 
Nilisha weka kila kitu sawa..zindiko lang halina kinga..

Ntakuita mshana viouno...

Kwetu pale tanga mabanda papa

Hahhahaaaaa mi natokea magoroto kule mlimani kitovu changu kiko kicheba nashinda misozwe, lunch kibaranga, dinner mjimwema mpaka kuku ana hirizi
 
Hahhahaaaaa mi natokea magoroto kule mlimani kitovu changu kiko kicheba nashinda misozwe, lunch kibaranga, dinner mjimwema mpaka kuku ana hirizi

Acha mikwara, angalia sana utakuja kukata viuno huku unafanya meditation na chanting
 
mamafacebook em kuja kipande hii mara moja..
Dear loveissweet karibu tena nyumbani!...Thanks(hahahahahaha.,nimeiba kidogo maneno yako!)

Ahaaaa... Lets wait on my Somo aka Kungwi( Mama FB ) . ..aaahhhaaa no problem dear. Asante kwa kunikaribisha . I was just there not too long ago . That's my original home so I will definitely be there always .. Thanks ..
 
Last edited by a moderator:
Ahaaaa... Lets wait on my Somo aka Kungwi( Mama FB ) . ..aaahhhaaa no problem dear. Asante kwa kunikaribisha . I was just there not too long ago . That's my original home so I will definitely be there always .. Thanks ..

ukija si utanfundisha na mimi 'kidhungu' kdg,si eti!
 
@mshana jr unajua usiku huu nimecheka sana,jamaa akienda kusali wakat wa kurukuu na kusujudu anafanyaje?MAMBO YA KIPOCHI MANYOYA HAYO
 
Back
Top Bottom