figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,241
atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia[/QU mia mwenyewe mana toka umeijua hyo mia imekuwa tabu.we nawe mzaramo wa wapi hufahamu hata waimbaji wenu,huyo wa kaz ya dukan anaitwa dogo mfaume,alokufa anaitwa omari omari.
joe5 una mikwala sana, na yule aloimba na nature "hata kikwete angekwenda na maji, vijiko vyote vimekwenda na maji". anaitwa nani?. mia
atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia
Huyu ndo kazi yake ya dukani??
R.I.P Omary
(MSTARI=986)jipu(MSTARI) :smile:Omari Omari msanii maarufu wa mchiriku amefariki dunia, ....(source clouds fm).....bila shaka JK atahudhuria mazishi yake.
Picha yake hiyo Wimbo ....kupata Majaliwawekeni picha picha yake na mtueleze ameimba nyimbo gani sababu wasanii wapo wengi,pia ata matapeli nao uitwa wasanii siku hizi,tunaomba picha na nyimbo alizoimba,na nin kimemuua
Kwanini asiende msiba wa msanii mwenzake,hii yote kahudhuria kwanini asiende huu kutoa pole?msiba huu jk haendi, mmemsema sana! haendi nawahakikishia labda awe hana mshipa wa aibu.
Ni kweli alikwenda. Na mara nyingi huwa hata hospital kuwajulia hali wagonjwa anaowafahamu huenda. Ndicho alichojaliwa na ndiyo ibada yake.Jk hakwenda kumjulia hali yule padri wa znz?
Jk hakwenda mbagala kwenyenuchomaji wa makanisa?
Sometimes tuwe tunafikiria vya kuongea wakuu tutakua lini?
Udhibiti upi unaoutaka mkuu?Asante sana Mkuu;
Je, ni hatua gani amechukua yeye pamoja na serikali yake katika kudhibiti vitendo hivi, ambavyo vinatia hofu na kuharibu mali za Makanisa. yaani utadhani kama hakuna vyombo vya Dola!!!!!!!!
Kama ni kwenda kumuona Padri au kutembelea makanisa Mbagala hata mimi kote huko nilienda lakini sina la kufanya katika kudhibiti vitendo hivi.
Hivyo kwenda na kutembelea si dawa, kinachotakiwa ni kudhibiti, tena Serikali haionyeshi kuguswa na vitendo hivi hata kidogo na ndio maana wamekaa kimya nawahalifu wanaendelea.
Mwaka uliopita ni mwaka wa kukumbukwa kwa Mapadri na Kanisa nchini kwani ni jumla ya mapadri watatu wamepigwa, wamejeruhiwa.
Je, ni jambo la kuchekeachekea hili??????
Ingelikuwa ni Misikiti imechomwa na kuharibiwa mali za Misikitini ambapo Wakristo wamehusika. Hivi Tungepumua kweli hapa Tanzania???
Sometimes fikiria kabla ya kuongea. mkuu tutakua lini??
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!