Anapenda kwenda kwenye majanga kama haya lakini kwenye matatizo mfano ya kuchomwa kwa makanisa na uharibufu wa mali, kujeruhiwa na mauaji ya watumishi wa Kanisa, hapo JK yupo kimya kabisa, na ikizingatiwa ni Waumini wenzie wanaotenda mambo hayo.
Ushauri kwa JK abadilke asifikiri kushiriki misiba ya wasanii ni kujidanganya kwa kujiweka akribu na vijana akijua kuwa atapendwa na vijana.
HATUDANGANYIIIIIIII.
Akitaka tumuelewe ashughulikie matatizo yanayogusa vijana mfano Ajira kwa vijana, vitendo vya unyanyasaji vya askari wa jiji na manispaa kuhusu Wamachinga, na kudhibiti mfumuko wa bei nchini.
wekeni picha picha yake na mtueleze ameimba nyimbo gani sababu wasanii wapo wengi,pia ata matapeli nao uitwa wasanii siku hizi,tunaomba picha na nyimbo alizoimba,na nin kimemuua