Omar Ramadhan Mapuri ana umri gani, mbona bado anateuliwa?

Samia apumzishwe kwa nguvu la sivyo anaenda kujeruhia vibaya sana taifa. Jiulize kwanini kanisa wa RC na dini wa kiislamu hawataki kabisa kuongozwa na Mwanamke. Mwanamke hata uzae nae watoto 1000 anaweza kukuacha kwa kusifiwa tu umbo lake. Mtu kasifiwa na kuwekwa kwenye ule mnara mrf matokeo yake kauzaTanganyika.
Duuuuh !
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Rais anateua watu wake watakaomsaidia kuiba kura mwaka 2025 maana alishaona hatakuwa na chake baada ya kuuza nchi kwa waarabu.
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Vijana tunaendelea kupikwa tuive haswaa.....

Ukomredi taifani si lelemama....

Mh.Rais SSH yuko sahihi kabisa....

Akina mh.Dr Mapuri wameona mengi ni rahisi kuwa "loyal" na USIRI wa kutoteleza kwa lolote na vyovyote.......

Hata wewe dada Tusekelege nafasi yako unayo toka 2010....Mh.Mbowe hampi mwingine ..[emoji1787][emoji1787]

Ndagha fijo

#SiempreJMT[emoji120]
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Ccm wote hawana akili, mwaka 2015 mwenyekiti wa NEC Damian lubuva alikuwa na miaka 75 mpaka akitangaza Matokeo anasinzia nawakati wapo majaji vijana kabisa wenye uwezo wa kushika hicho cheo
 
Samia apumzishwe kwa nguvu la sivyo anaenda kujeruhia vibaya sana taifa. Jiulize kwanini kanisa wa RC na dini wa kiislamu hawataki kabisa kuongozwa na Mwanamke. Mwanamke hata uzae nae watoto 1000 anaweza kukuacha kwa kusifiwa tu umbo lake. Mtu kasifiwa na kuwekwa kwenye ule mnara mrf matokeo yake kauzaTanganyika.
Matusi si sifa na mtaji....

Tanganyika ilifutwa na baba wa taifa hayati JKN kwa ajili ya maslahi mtambuka ya nchi....ni maslahi makubwa sana zaidi ya hisia na matusi yako.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Ccm wote hawana akili, mwaka 2015 mwenyekiti wa NEC Damian lubuva alikuwa na miaka 75 mpaka akitangaza Matokeo anasinzia nawakati wapo majaji vijana kabisa wenye uwezo wa kushika hicho cheo
Kuna nafasi si tu elimu inakufanya uwepo hapo....

Usipokuwa CHARISMATIC na mfia nchi DIE HARD ,loyal na msiri kupindukia with "think tank abilities" huwezi kuwepo hapo hivyo utakavyo wewe...[emoji1787]

Dr.Mapuri ni mtu sahihi....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Ccm ni ile ile!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Tunaangalia utendaji kazi wake umri sio tatizo kama anachapa vizuri sisi wananchi tunakwenda nae. Rais atakua ameridhika na utendaji wake ndio maana akamuongezea Muda
 
Back
Top Bottom