pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Mataputapu yatakuua we nyau!Ni mdogo Kwa Slaa...umri Sawa na Mbowe
Mataputapu yatakuua we nyau!Ni mdogo Kwa Slaa...umri Sawa na Mbowe
Hahahaha hapo kwa Lucas daaaNimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.
Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.
Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri
Umeshachanganya mafaili, Mbowe anachaguliwa na wanachama,Mapuri ameteuliwa baada ya kustaafu kitambo kwenye utumishi wa ummaMbona Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu CHADEMA husemi chochote?
Ndugu katika imani[emoji848][emoji2827]Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.
Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.
Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri
Mapuri ana miaka 59?? Jf imejaa wajinga kwa Sasa
Labda kama umeamua kunishambulia tuInaonesha kuna wanaojitambua si huyu mpuuzi Erythrocyte kila siku kuona wazee ni kinyaa. Hata hao Wazee walikuwa ni vijana na watakuwa wazee pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watoto 1000Samia apumzishwe kwa nguvu la sivyo anaenda kujeruhia vibaya sana taifa. Jiulize kwanini kanisa wa RC na dini wa kiislamu hawataki kabisa kuongozwa na Mwanamke. Mwanamke hata uzae nae watoto 1000 anaweza kukuacha kwa kusifiwa tu umbo lake. Mtu kasifiwa na kuwekwa kwenye ule mnara mrf matokeo yake kauzaTanganyika.
Hujui kwamba ukizeeka unatakiwa kupumzika?Una matatizo wewe! Kila siku hutaki wazee, una nini lakini? Kwani wazee si wananchi wa nchi hii? Unachosha na kutia kinyaa kwa ubaguzi wako. Ipo siku na wewe utakuwa mzee ujue
Unataka wazee wako wafe tu. Ukizeeka lazima uendelee kutoa mchango wako pale ambapo unastahiliHujui kwamba ukizeeka unatakiwa kupumzika?
Picha enzi hizo akiwa Balozi? Muungano hauvunjiki maana zenji imehamia Dar.
Duh huu moto ikifika 2025 huyu bibi atasusa na kukimbilia kwao Oman!Tunataka BANDARI zetu
Lakini uzee wa Mapuri ni sumu tena ya CobraUzee dawa
Picha enzi hizo akiwa Balozi? Muungano hauvunjiki maana zenji imehamia Dar.
VIJANA NI "TAIFA LA KESHO" SUBIRI KESHO AMBAYO HAITAFIKA MILELE CCM NI YA "WAZEE"NA NDIO WANASTAHILI KULA "KEKI YA TAIFA"VIJANA ENDELEENI NA UCHAWA TUNimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.
Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.
Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri
Imani ya utawala wa CCM ??
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Uwingi wa Puri ni Mapuri..
Wewe endelea kubet. Unaweza kubahatika hukoNimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.