Omar Ramadhan Mapuri ana umri gani, mbona bado anateuliwa?

Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Hiyo NEC ni taasisi ya CCM, tunahitaji katiba mpya jamani!
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.
Magu aliwapa vijana nafasi na tukashuhudia yaliyojiri. Acha wazee waendelee kula kwa kujinafasi
 
Samia apumzishwe kwa nguvu la sivyo anaenda kujeruhia vibaya sana taifa. Jiulize kwanini kanisa wa RC na dini wa kiislamu hawataki kabisa kuongozwa na Mwanamke. Mwanamke hata uzae nae watoto 1000 anaweza kukuacha kwa kusifiwa tu umbo lake. Mtu kasifiwa na kuwekwa kwenye ule mnara mrf matokeo yake kauzaTanganyika.
Sure ni hatari sn
 
Vijana tunaendelea kupikwa tuive haswaa.....

Ukomredi taifani si lelemama....

Mh.Rais SSH yuko sahihi kabisa....

Akina mh.Dr Mapuri wameona mengi ni rahisi kuwa "loyal" na USIRI wa kutoteleza kwa lolote na vyovyote.......

Hata wewe dada Tusekelege nafasi yako unayo toka 2010....Mh.Mbowe hampi mwingine ..[emoji1787][emoji1787]

Ndagha fijo

#SiempreJMT[emoji120]
Inaonesha kuna wanaojitambua si huyu mpuuzi Erythrocyte kila siku kuona wazee ni kinyaa. Hata hao Wazee walikuwa ni vijana na watakuwa wazee pia.
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.

View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri​
Sijamuona Balozi Seif Ali Iddi - Mwanadiplomasia nguli mbobevu aongezwe kwenye NEC...!😜
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.

View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri​
Wanateuliwa ili wale mema ya nchi kupitia fedha za mishahara, posho na marupurupu mengine manono, pamoja na kusifu, kuabudu na kumtukuza mteuaji. Hawateuliwi kwa ajili yako au kwa ajili ya kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Je, umeelewa mpaka hapa??
 
Attachments

  • D86589FC-13FA-4289-9D69-F6FF4AFE2DC6.jpeg
    D86589FC-13FA-4289-9D69-F6FF4AFE2DC6.jpeg
    62 KB · Views: 10
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.

View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri​
mjumbe wa tume ya uchaguzi hana mshahara ni posho tu wakati wa shughuli ndio wanalipwa

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshangazwa na Taarifa kwamba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua Omari Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ( NEC ), Kwa kadri ya kumbukumbu zangu sioni lolote ambalo Mzee Mapuri anaweza kuwa amelibakisha katika mchango wake kwa Taifa hili.

Bila Shaka CCM ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuziba nafasi ya Mapuri, akiwemo Lucas mwashambwa, umri wa Mapuri kwa sasa anapaswa kupumzika na kulea Wajukuu tu.

Ni vema vijana wakapewa nafasi sasa badala ya porojo kwamba wao ni Taifa la Kesho.

View attachment 2673844
Balozi Omar Ramadhan Mapuri​
Hiki kibabu kina dawa au?
 
Back
Top Bottom