Ole wenu mnao kula Sausages - zinaua

Ole wenu mnao kula Sausages - zinaua

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Sausages kill, new study warnsWhile Tanzanians are getting increasingly fond of sausages, a recent research has linked them with early deaths from cancer and heart diseases.People who regularly eat a helping of more 160 grammes – the equivalent of about three sausages – have much greater chance of dying prematurely compared to those who don’t touch the delicacy, the study , based on findings in 10 European countries, point out. Source by: The Citizen
 
kila kitu chenye faida wao husema kina madhara proof kiti moto na bangi hizi mambo zinafaida kweli kweli lakini wao wanakimbilia madhara mwishowe na maji tutaambiwa yana madhara..
 
Sasa hii ndio imekaaje tena jamani yaani vitu vyote vitamu vina madhara!sasa tule nini,watasema na ile kitu niipendayo K/moto nayo ina madhara.

Hiyo inasababisha Kifafa cha ukubwani pia na hali ya kuchanganyikiwa kama chizi vile...........Kazi unayo.
 
Mimi nafikili nyama ya nguruwe haina matatizo, tatizo linatokana na additives wanazo ziongeza kwenye sausages: mfano sodium Nitrate, rangi na preservatives!!
 
Vitamu vinaua...
Sasa hii ndio imekaaje tena jamani yaani vitu vyote vitamu vina madhara!sasa tule nini,watasema na ile kitu niipendayo K/moto nayo ina madhara.
 
yalaaaaaaaaaaah......tena soseji za kitimwaa........zilivyot......!!! asa ntakula nini?
 
Sausages kill, new study warnsWhile Tanzanians are getting increasingly fond of sausages, a recent research has linked them with early deaths from cancer and heart diseases.People who regularly eat a helping of more 160 grammes – the equivalent of about three sausages – have much greater chance of dying prematurely compared to those who don’t touch the delicacy, the study , based on findings in 10 European countries, point out. Source by: The Citizen

kazi kwenu mnaojifanya wakisasa na mivyakula yenu hiyo.
Badala ya kula magimbi ya kuchemsha na maboga mnajifanya wa sausage mara buger na mbaya zaidi mnatutukana tusiokula eti wakuja.
 
sio wakuja, tusiokula ni kwa sababu hatuna pesa za kununulia halafu tumekaa kivilagevilage
 
Sasa hii ndio imekaaje tena jamani yaani vitu vyote vitamu vina madhara!sasa tule nini,watasema na ile kitu niipendayo K/moto nayo ina madhara.

Kiti moto ilishasemwa siku nyingi kwani wewe huna habari? Kitimoto inatakiwa ipikwe kwa masaa 8 ndio unaweza sema imeiva na wadudu waliopo ndani ya nyama iyo wanakuwa wamekufa. Vinginevyo hao wadudu hawafi na huleta madhara kwa binadamu km wewe ni mlaji wa kitimoto mara kwa mara
 
Back
Top Bottom