May my soul rest in eternalpeace. Amen
King'asti vipi tena??
hebu acha kumbania muongezee na hilo jero jingine zifike buku mbili kabisa!nimetafuta sana neno la kukujibu sijapata kwa hii......pokea like buku jero
Sasa hii ndio imekaaje tena jamani yaani vitu vyote vitamu vina madhara!sasa tule nini,watasema na ile kitu niipendayo K/moto nayo ina madhara.
hebu acha kumbania muongezee na hilo jero jingine zifike buku mbili kabisa!
nikupe sausage?ameen!!!
Sausage siachi ng'o!
sasa hii ndio imekaaje tena jamani yaani vitu vyote vitamu vina madhara!sasa tule nini,watasema na ile kitu niipendayo k/moto nayo ina madhara.
Usipokula utaishi milele?
Hapa Asians hasa Japanese na Chinese wangeshakufa wote maana pork ni tradition yao anzia breakfast. Kijijini miaka hiyo nyama kuu ilikuwa ni kitimoto na mafuta yake unachemsha yanapikia. Wazee wameishi miaka mingi sana.Kiti moto ilishasemwa siku nyingi kwani wewe huna habari? Kitimoto inatakiwa ipikwe kwa masaa 8 ndio unaweza sema imeiva na wadudu waliopo ndani ya nyama iyo wanakuwa wamekufa. Vinginevyo hao wadudu hawafi na huleta madhara kwa binadamu km wewe ni mlaji wa kitimoto mara kwa mara