CHADEMA mkuu ,ni mashine nyingine ondoa Shaka,CHADEMA imejenga watu TOKA chin ,ina azina ya viongozi usipime
Hata mh mbowe angesema ameamua hama chama,but Bado CHADEMA itakuepo,na historia ya Chama hichi wapitapo migogoro ndivyo hukomaa zaidi,
Hiki ni chama chenye roho 7 mkuu,sio maneno yangu ila yapo na kipindi Cha nyuma niliwahi uliza swali hili, kwamba roho saba ya CHADEMA maana yake ni Nini,? Hakuna alienijibu mkuu
Ushauri
Watawala kamwe msijidanganye na neno CHADEMA mtapotea ,ila elewa tu CHADEMA ni chama chenye roho saba Kama paka, so huwezi izuru ,sambaratisha Kama hujui chanzo Cha CHADEMA, ni ngumu ,na itawala taifa hili Kama sio leo basi kesho au kesho kutwa no way