Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

CCM wanatest mitambo ya baada ya uchaguzi.
Screenshot_20201126-173835.jpg
 
Mlivyokuwa mnaingiza kura fake kule Kawe na kwingineko hamkujua kuwa nchi itakosa upinzani?
Mkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na lina maswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,

Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa CHADEMA halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani

Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
 
Mkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na linamaswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,

Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa Chadema halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani

Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
Wewe bhana kuwa serious basi. Hukuziona zile alizokuja nazo Lissu na Zito kwenye press conference? Nachukia kweli watu wanaojitoa ufahamu. Kura fake mbona nyingi tu zimeonyeshwa ukiachilia zile zilizochomwa moto kule Kawe!
 
Nyie Lumumba mnamfundisha nani kazi? fungeni midomo yenu.
 
Hawa kufukuzwa lazima, halafu Lumumba naona mmetumwa kushindana kufungua uzi za aina hii, jiandaeni kisaikolojia, hawa kesho kwisha habari yao.
 
Mfukuzeni Halima & Cos muone madhara yake.Itawagharimu kwa miaka 25 kurudi kwenye reli
Aliondoka kichwa Dr Slaa, Zitto etc ndiyo itakuwa hawa mburula wa viti maalum?? Kwa CHADEMA ilipofikia hata akifukuzwa Mbowe wataendelea, si umejionea mwenyewe mtiti wa kampeni wa Lissu?
 
Hizi fununu kwamba kina Mdee wamepewa wanawake wa Lumumba wavae jezi za CDM kwenye maandamano ya kumlaumu Mbowe mbona zinachekesha?dah Mdee shida nini dah au wana info zako za siri?
 
Yaani leo eti mpaka gazeti lao la UHURU limewapongeza Mdee na wenzake??? Can you imagine???
ukurasa wa 3 wame post habari FAKE YA EU kuipongeza tanzania ,ofisi y aEU wameikana nimepost hapa uzi ulifutwa ndani ya dakika nusu
EU.JPG
 
Ache vitisho dogo, waliohusika wote fukuza, hata Kama Mbowe kahusika ajiuzulu
 
Back
Top Bottom