Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

Mkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na lina maswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,

Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa CHADEMA halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani

Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
Kura feki zipo Nchi nzima kila kona lakini unaenda nazo mahakama ipi? hakuna mahakama ya kwenda au kama wataruhusu watumie mahakama za Nchi zingine
 
CCM wanapowatetea kina Mdee wasipewe adhabu na chama chao..think twice!!
Nani anaweza kuamini kampeeni meneja wa Lissu, mh. sana Binanga, mkwewe anaweza amka asubuhi kwenda Dodoma kuapa pasipo yeye kuwa na habari😁😁
 
Vipi china ni kituko?
Uchumi wa china ni tofauti na uchumi wa Tanzania na China hukuti kiongozi kuchukua pesa Hazina kibabe kufanya manunuzi kama Tanzania ambapo kiongozi humpa Amri Gavana wa BOT kutoa pesa bila ridhaa wala idhini ya wananchi wenye pesa zao
 
Nguvu iliyo nyuma ya sakata hili ni CCM na serikali yake. Ndiyo maana wengi wanaowashabikia wasaliti hawa ni viongozi na wanachama wa CCM. No more, no less.
 
kama chama kinaongozwa na Katiba na Sheria hakuna jambo gumu hapo, hivi unajua hata itokee Mbowe kafukuzwa kwa kosa hilo bado CHADEMA itapata nguvu kuliko kubaki na viti maalum.
Politics is different.Chasema inahitaji kuwa sehemu ya mfumo iwe ni kwa njia haramu au halali.SWALI ni je Kwa mfumo gani?Kwa utaratibu gani?Kumbuka wanapofanya maamuzi hawafanyi kama wewe kwa ushabiki.Kuna constraints nyingi ikiwemo mahitaji ya hao ambao wametakiwa kupewa nafasi hizo na hali zao.

If you ask me.LET the ladies GO and the party should find anothe way ya kuwanidhamisha ambayo haitaathiri uanachama wao bali itawajenga katika nidhamu.
 
Nguvu iliyo nyuma ya sakata hili ni CCM na serikali yake. Ndiyo maana wengi wanaowashabikia wasaliti hawa ni viongozi na wanachama wa CCM. No more, no less.
Covid 19 ni pandikizi la CCM kuiua CHADEMA mazima
 
Politics is different.Chasema inahitaji kuwa sehemu ya mfumo iwe ni kwa njia haramu au halali.SWALI ni je Kwa mfumo gani?Kwa utaratibu gani?Kumbuka wanapofanya maamuzi hawafanyi kama wewe kwa ushabiki.Kuna constraints nyingi ikiwemo mahitaji ya hao ambao wametakiwa kupewa nafasi hizo na hali zao.

If you ask me.LET the ladies GO and the party should find anothe way ya kuwanidhamisha ambayo haitaathiri uanachama wao bali itawajenga katika nidhamu.
CHADEMA ikisalia na hao Covid19 itadidimia sana kwani tayari wanachama wa CHADEMA wamechukizwa sana kauli za kejeli za mdee kwa Uongozi wa CHADEMA
 
Uchumi wa china ni tofauti na uchumi wa Tanzania na China hukuti kiongozi kuchukua pesa Hazina kibabe kufanya manunuzi kama Tanzania ambapo kiongozi humpa Amri Gavana wa BOT kutoa pesa bila ridhaa wala idhini ya wananchi wenye pesa zao
Mbona una hama maada ? Ndivyo tunavyo paswa kujenga hoja
 
kama chama kinaongozwa na Katiba na Sheria hakuna jambo gumu hapo, hivi unajua hata itokee Mbowe kafukuzwa kwa kosa hilo bado CHADEMA itapata nguvu kuliko kubaki na viti maalum.
Sawa kabisa. CCM wasijidanganye kuwa CHADEMA itakufa Mbowe akifukuzwa. CHADEMA itazidi kumea na kusitawi hata bila ya Mbowe. Upinzani utaendelea kukomaa ndani ya mioyo ya raia kutokana na matendo hasi yanayofanywa na CCM.
 
Chadema ikisalia na hao covid 19 itadidimia sana kwani tayari wanachama wa chadema wamechukizwa sana kauli za kejeli za mdee kwa Uongozi wa chadema
Haijalishi Mkuu,Siasa sio dini.Kuwafukuza uanchame hakutafanya CDM iwe imara na wala kuwaacha nafikiri lazima tujifunze kufanya siasa na tuachane na mihemuko.CHADEMA haina wanachama.Wangekuwepo wangeingia road kudai uchaguzi au ushindi wao.HUO NDO UKWELI MCHUNGU.
 
Back
Top Bottom