paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,500
- Thread starter
- #41
Mkuu, kuukata mzizi si ndo kuuwa shina mkuuAche vitisho dogo, waliohusika wote fukuza, hata Kama mbowe kahusika ajiuzulu
Mkuu, kuukata mzizi si ndo kuuwa shina mkuuAche vitisho dogo, waliohusika wote fukuza, hata Kama mbowe kahusika ajiuzulu
Sjiu leo ndo itakuwa maziko!!!Kwani bado hamjakizika ?
Si Wassira alikizika mwaka 2013 ?Sjiu leo ndo itakuwa maziko!!!
Hata hivyo mgonjwa anaroho ngumu kama yapaka
Labda Leo karata zisippchezwa Kwa uangalifu zinaweza kusababisha maziko rasmi leo!!Si Wassira alikizika mwaka 2013 ?
Aiseee ile press ya Dr Slaa nilidhani CHADEMA imezikwa rasmi. Ila kwa jinsi alivyopuuzwa na ''nyomi'' la karatu alipotua Lowassa nikajua CHADEMA ni kubwa kuliko individual yeyote yule.Kaondoka Slaa na bado ccm inategemea Tiss, tume ya uchaguzi nk kutangazwa washindi kwenye uchaguzi, ndio itakuwa hao wahuni?
BAVICHA kuijenga ni Rahisi tofauti na hii ya BAWACHA!!Hivi unakumbuka uongozi wa BAVICHA karibu wote uliwahi timuliwa. Viongozi zaidi ya 8, kelele kma hzi zilikuja mara ooh vijana wataisusa..... Chama kitakufa.
But miaka 8 sasa imepita na CHADEMA kimezidi kukua. So to hell na hao BAWACHA......
Atafukuzwa na hakuna kitu kitakachotokea zaidi ya hao wasaliti kufa kisiasaMfukuzeni Halima & Cos muone madhara yake.Itawagharimu kwa miaka 25 kurudi kwenye reli
Marehemu huwa anazikwa mara mbili ?Labda Leo karata zisippchezwa Kwa uangalifu zinaweza kusababisha maziko rasmi leo!!
Afadhali wasimamie wanachokiamini hata kama kitawagharimu kuliko kuyumba.Mfukuzeni Halima & Cos muone madhara yake.Itawagharimu kwa miaka 25 kurudi kwenye reli
Upo sahihi mkuu.Ni hivi yoyote aliyekubali kupata fahari za shetani hatakiwi, piga chini maana nguvu ya cdm ni sisi wapiga kura wao,na tuko tayari kwa mamuzi ya kuwapiga chini wahuni wote walioungana na shetani. Kwakuwa shetani ana nguvu ya muda mfupi, awarudishe kwa kiburi cha madaraka.
Mimi naamini Zitto alishazika Political career yake baada ya kutoka CHADEMA.Aiseee ile press ya Dr Slaa nilidhani CHADEMA imezikwa rasmi. Ila kwa jinsi alivyopuuzwa na ''nyomi'' la karatu alipotua Lowassa nikajua CHADEMA ni kubwa kuliko individual yeyote yule.
Nani alitishia uhai wa CHADEMA kuliko Zitto? Leo hii anaweza linganisha nguvu aliyonayo ACT na zile enzi zake za CHADEMA?
Ni hivi upinzani upo CHADEMA, ukishajitoa tu unapuuzwa kma Komu na Lwakatare.
CHADEMA kimetapakaa nchi nzima kiufupi kila kata Tanzania bara nimekuta kuna BAWACHA yenye uongozi na sekretarieti kamili.Bavicha kuijenga ni Rahisi tofauti na hii ya Bawacha!!
Viongozi hao Bawacha ni mzizi uliosehemu kubwa ya shina mkuu
Jua na mvua bora vyote!Ole wenu chadema!!
Mtihani huu uliopo Chadema ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kirndelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasimi ikiwa hakima haitatumika kuamua mgogoro huo
Wengi wenu mnamuona Mdee,Bulaya, Matiku na wenzao walioapa bungeni juzi, Lakini aminini kwamba, kuna kundi na nguvu kubwa iliyo nyuma Yao na ndani Yao ni viongozi wandamizi chamani
Maamzi yenye Hekima pekee ndiyo yatakayoifanya Chadema iendelee kuwepo!!
Swali ni Je!
Ni nani atakuwa mwamuzi katika Hilo ikiwa baadhi ya viongozi ngazi za juu kabisa nao wamo kwenye skendo hii??
Jua na mvua Bora nini??
Na wewe utapata hasara gani?Mfukuzeni Halima & Cos muone madhara yake.Itawagharimu kwa miaka 25 kurudi kwenye reli
Kama uwezo haupo wewe unaumia nini? Be honestUna uwezo wa kuendesha chama hicho kwa miaka mitano au mtabaki na chama moyoni?