Ole wao wanaotazama sex (chonda)

Ole wao wanaotazama sex (chonda)

Utanikuta huko nakaribia kufika
Sheria za JF zingeruhusu link za kufanana nazo tungeanza hapa hapa kwenye huu uzi dadadeki.
Nabhata ushungu kuona mtu anadiriki kukemea tusimuone mtu kama Kira Noir akifanya yake, such goddess?
 
Hivi kweli weye waona kuwa hii nayo ni kitu ya kuleta humu?? Joka lilikuwa linamfanyaje marehemu tena ambaye udongo tani saba uu juu yake?? Lilimzingiraje?? Mengine tafteni wa kuogofisha ila si wote. Hao wanawake haki yao ila mimi nimeahidiwa mabikra 72 hukooooo
Wapi huko mkuu
 
DHAMBI na HARAM ni vitu viwili TOFAUTI....dhambi ni BAADA YA KUTENDA HARAMU.....na HARAMU ni MAKATAZO.......kumwangalia ....au KUMSHIKA....mwanamke ambaye ni HARAMU kwako KWA KUMKAZIA MACHO.....mpaka inakupelekea KUMTAMANI...na unapomtamani MAANA YAKE UTAMTONGOZA ..ndy huko unapoelekea ktk DHAMBI YA ZINAA.....kuna kitu NIMEJIFUNZA SN ktkt MAKATAZO HAYA YA MUNGU...mtu akiona SHERIA ZA MUNGU ZINAMBANA anakwepesha....ili aonekane yupo sahihi....si haramu kutazama mara moja kwani jicho halina PAZIA...sasa baada ya kuona wewe UMEENDELEA KUKAZA MACHO NYUMA ....au ile tabia ya kupishana na MWANAMKE halafu UNAGEUKA NYUMA KUMTAZAMA alivyoumbika kwa NYUMA ndy HARAMU yenyewe hiyo.....wewe umeshamtazama wakati MNAPISHANA.....sasa UNAGEUKA NYUMA uangalie nn? Na yule ni HARAMU kwako....GEUKA KUMTAZAMA MKEO TU....mbona MAMA YAKO...AU DADA YAKO....mkipishana HUGEUKI NYUMA KUTAZAMA? hayo ndy DINI haitaki.......mimi nakukumbusha tu.....bali sio MTENZA NGUVU.....nenda INCHI ZA KIISLAM utaona kama watu WANAGEUKA NYUMA kuangalia WANAWAKE WAKIPISHANA NAO...nimekaa IRAN...pakistan....nimejifunza VINGI....MKUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo katika nchi hizo za kiarabu hawafanyi ufuska wa kuangalia porn na ufirauni mwingine?
 
Back
Top Bottom