Ole wao wanaotazama sex (chonda)

Ole wao wanaotazama sex (chonda)

kuna tofauti kubwa kati binadamu na mnyama. Binadamu ana utashi mnyama hana. Lakini baadhi ya wanyama ni bora kuliko wanadamu na kwenye key board unaweza kuwa hodari sana lakini itakuja siku utakumbuka dharau zao na ni karibuni. We endelea tu .......
Alifanya hakufanya na mtoto wa miaka 9 huo si ni ubakaji ,mbona hampendi amniwa ukweli,,yaan mafundisho yote yamejaa ngono ngono tu loo,,mi dini zenu nishawaachia nyie
 
Wengi hawajui kuoa ni mkataba na kuingilia ni wakati wa utayari wa pande mbili. Wengi wana chukulia ndoa ndio .. tayari muingiliano. Hiyo sio ndoa inaitwa kuingilia baada ya utayari. Unaweza kuoa na usimwingilie mke .... mpaka wakati muafaka. Jamani kama wengine hamujui ulizeni, kuuliza sio ujinga. Ndoa ni nikaah tu. Kuingilia kunaitwa ijmaai na ni halali kwa kuoa au kuolewa na haisihi kuingilia au kuingiliwa mume au mke kama kuna madhara ya umri mdogo na maumbile hayaruhusu, maradhi n.k. sio kila nikaah ni tayari ruhusa ya tendo.
 
Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye
Hadithi ya Mtume wa Allah -rehma za Allah na amani zimshukie- kuwa "zinaa ya jicho ni kuangalia". Imepokewa na Imam Bukhari, Muslim na wengineo. Na wenye wamesema hapana tafauti baina ya kuangalia yaliyo haramu moja kwa moja au kupitia kioo cha TV, pazia la sinema, n.k.

Amelaaniwa kila anaetizama picha za sex hata kama hatendi yeye .kuna binti mmoja ambae alikuwa mtoto mwema kipindi cha sala hakimpiti anasifikana kwa tabia nzuri .siku yake ilifika ya kuaga dunia kwani hakika kila nafsi itaonja mauti wakazika. Kuna kijana alipoteza pochi yake ambayo ilikuwa ina kadi zake muhimu na ni katika walioingia ndani ya kaburi kuzika kwa hiyo wasiwasi wake mkubwa ni kuwa pochi imemdondoka mule ,wakaulizia kuwa inafaa kwenda kufukua jibu likawa ndio ikiwa una uhakika ni humo na vitu muhimu kwa hiyo wakenda na kaka wa marehemu ,wakachimba na humo ndani waliliona bonge la joka limemzonga marehemu walishtushwa sana na kukimbia, kaka wa marehemu alistajabishwa sana kuona mambo yale wakati dada ake alikuwa mcha Mungu ikabidi amfuate shekhe kujua sababu, shehe nae akauliza maswali yake na majibu yote yalikuwa mazuri mfano alikuwa akijistiri, anasali. Basi ikabiri aamuru kusachiwa chumba chake, chumba hakikuönekana vitu vya ajabu ila kulikuwa na cd ambaze shehe akaamuru zitiwe kwenye tv yake humo chumbani , matokeo ni kwamba zile cd ni za mambo machafu za x kwa hiyo shehe akawaeleka hii ndio kazi ya mtoto wenu aliyokuwa akiifanya na sababu ya joka kaburini ndio hii. NDUGU YANGU MUISLAM KUMBUSHA KWANI HII SMS UTAPOITUMA HUWEZIJUA MATUNDA MAZURI UTAKAYOKWENDA KUJIVUNIA KESHO. Jamani jamani hata kutizama picha za uchi tu wa mwanamke na mwanamme haifai. KWA HIYO TUTUMIENI SIMU ZETU KWA KUELIMISHANA NA SIO KUPOTOSHANA KWA KUZANI KUWA TUNACHEKESHANA. ALLAH NDIE ATAKAE KULIPA INSHAALLAH

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku lazima niangalie video za Jordi Pola hasa zile anazowafiraa majimama.
 
Alifanya hakufanya na mtoto wa miaka 9 huo si ni ubakaji ,mbona hampendi amniwa ukweli,,yaan mafundisho yote yamejaa ngono ngono tu loo,,mi dini zenu nishawaachia nyie
Soma ujue soma post yangu hapo. Elimu ya dini hujui uliza kwa ustaarabu utajibiwa na ntakupa elimu bure.
 
Hivi wakati wa MTUME kulikuwa na TV? nadhani HIYO ZINAA YA JICHO iliyozungumzwa na MTUME MUHAMAD(SAW) ni JICHO LA KUTAMANI..kumwangalia MWANAMKE ambaye SIO MKEO kwa JICHO LA KUMTAMANI....na sio VINGINEVYO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kitu gani kinachotufanya wanaume kuoa wanawake?
Huwa tunafungwa vitambaa machoni wakati wa kuchagua mwenza?
Lazima mwanaume upate tamaa, tena ile tamaa "kali" ya kuzini na mwanamke na kummiliki kwa upendo wa dhati kabisa.
Kupenda na kutamani ni "mtu na dadayake" Hauwezi kupenda bila kutamani.
Ni tamaa pekee ambayo humsukuma mtu kupenda na kufikia maamuzi ya kuoa.
Kumwangalia nwanamke kwa tamaa ni maumbile na ni burudani kubwa sana kwa mwanaume yeyote. Ni jambo lisilokinaisha kama tusivyokinaishwa kula chakula, ni maisha.
Pia ni fahari na raha sana kwa wanawake kuona majaliwa waliyopewa na M/Mungu yanawapelekea wanaume wawatamani na kuwatongoza kwa kuwabembeleza.
Kuzini ovyoovyo yaweza kuwa dhambi, lakini hili la kuangalia mwanamke kwa matamanio haiwezi kuwa dhambi hata siku moja. Dhambi kwa mzania wa kosa gani?
Hoja yoyote inayopingana na asili ya maumbile kwa kisingizio cha dhambi ni uongo wa mchana kweupe.
 
Tafadhal saaaana usitaamke usio ya jua. Na usivuke mipaka kujifanya una tusi imani za watu. Tafadhali mtume wetu mwache hujui hadhi yake nyamaza kimya. Sio kila porojo ni hoja.
Mimi naona mpaka tuwe kama nchi fulani ndo watatuheshimu . Waache t broo. na dharau zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila porn msiichukulie poa mjua shehe yoyote akiwekewa ma legendary kina nyomi banx, misty stone, maserati au vitoto vipya namba D kina katy leya lazima adinde
 
Back
Top Bottom