mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,338
Ufuska labda ufanyie CHUMBANI kwako...LAKINI ....SIO HADHARANI... BARABARANI...WAA sehemu za halaiki...na sio ICHI ZA KIARABU bali nazungumzia Inchi za SHERIA ZA KIISLAM....ZIPO ICHI ZA KIARABU NA HAWAFATI SHARIA ZA KIISLAM....ndy MAANA nasimama pale pale KUWA KUMWANGALIA MWANAKE ambaye ni HARAMU KWAKO ni kosa.....hupaswi KUMTAZAMA kwa jicho la TATU mkuu.....au MPAKA aongee SHEHE KIPOZEO?kutazama PORN pia ni kosa la kuangalia....kwani ni HARAMU pia kuangalia UTUPU wa MWINGINE..,.jicho la KUTAZAMA ndy linapelekea KUFIKIRIA MAASI...na unapotazama mara moja....UNAPOTAZAMA TENA mara ya pili Na la tatu.....unamwangalia tu....MAUNGO YAKE....unadhani UTAWAZA NN kwenye AKILI YKO? au kama wewe ni MUUMINI MZURI WA KIISLAM .....mbona MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI wanakwambiya miongoni mwa vitu vinavyovunja SWAUMU ni KUTAMANI...sasa iweje RAMADHANI iwe HARAMU kumwangalia mwanamke kwa jicho la TATU...baada ya RAMADHANI iwe sahihi?HARAMU ya RAMADHANI ni haramu kwa MIEZI YOTE SI RAMADHANI TU....Kwahiyo katika nchi hizo za kiarabu hawafanyi ufuska wa kuangalia porn na ufirauni mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app