Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,803
- 95,630
Utanikuta huko nakaribia kufikaAllah na binamu wake Yahwe ni miungu wa vitisho na mikwara sana... Huwa siwaaminigi most of the time!
Tukutane Ponhabu.
Utanikuta huko nakaribia kufikaAllah na binamu wake Yahwe ni miungu wa vitisho na mikwara sana... Huwa siwaaminigi most of the time!
Tukutane Ponhabu.
Hakutomba mtoto wa miaka 9??Tafadhal saaaana usitaamke usio ya jua. Na usivuke mipaka kujifanya una tusi imani za watu. Tafadhali mtume wetu mwache hujui hadhi yake nyamaza kimya. Sio kila porojo ni hoja.
Kama mtoto aliridhia, Ukuni ulikuwa halali yake....mtoto akililia wembe....?Hakutomba mtoto wa miaka 9??
Mtoto hata akikataa si analazimishwaaKama mtoto aliridhia, Ukuni ulikuwa halali yake....mtoto akililia wembe....?
jamanii...jamnii[emoji87] [emoji85]Kama mtoto aliridhia, Ukuni ulikuwa halali yake....mtoto akililia wembe....?
kuna tofauti kubwa kati binadamu na mnyama. Binadamu ana utashi mnyama hana. Lakini baadhi ya wanyama ni bora kuliko wanadamu na kwenye key board unaweza kuwa hodari sana lakini itakuja siku utakumbuka dharau zao na ni karibuni. We endelea tu .......Hakutomba mtoto wa miaka 9??
Ukitubia kwa uhakika Allah anakusameheKama ni hivyo mkuu, mi nadhani yale majoka Anaconda ndio yatanitafuta aisee...
Baada ya kaburi kufukiwa mchanga kwa marehem linageuka chumbaHivi kweli weye waona kuwa hii nayo ni kitu ya kuleta humu?? Joka lilikuwa linamfanyaje marehemu tena ambaye udongo tani saba uu juu yake?? Lilimzingiraje?? Mengine tafteni wa kuogofisha ila si wote. Hao wanawake haki yao ila mimi nimeahidiwa mabikra 72 hukooooo
Fanya mashara Allah watu kama nyie mnaomjaribu anakutakeni haswaNgoja nikaangalie mara ya mwisho..!!
Allah anatoa adhabu sehemu tano. ukifa, ukizikwa, kaburini na siku ya kiamaKila nisomapo mafundisho, kila nisikilizapo mawaidha huwa ni ya vitisho kwa kwenda mbele.
Hivi maiti, kaburi, sijui majoka ya kutisha! Mambo ya duniani yote hayo yanahusianaje na adhabu ya marehemu mtenda dhambi ambaye sasa baada ya kufariki anasubiria hukumu ya khiama?
M/Mungu wa haki awezaje kuadhibu mara mbilimbili?
Mafundisho yenu mara nyingi yanakanganya ni ya kusadikika hayahojiki ili kupata ukweli dhahiri usiotia shaka.
Ni vitisho, vitisho, vitisho kwa kwenda mbele.