Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,154
217,086
Hebu msome hapa halafu Tafakari

Screenshot_2024-04-01-23-16-45-1.png

Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haihusiki na kushambuliwa kwa risasi akiwa kwenye gari lake.

Ole Sendeka akizungumza mji mdogo wa Orkesumet leo Jumatatu ya Aprili mosi amesema anaiunga mkono Serikali inayoongozwa na CCM, hivyo haihusiki na jaribio la kutaka kupoteza maisha yake.

"Siwezi kusema CCM imenishambulia kwa risasi, nina imani nayo, hivyo Serikali hii haiwezi kunishambulia kisha niiunge mkono," amesema.

Mwananchi

Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
 
Punguza kupost habari ambazo hata hazikuhusu Wewe na Chama chako. Unajidhalilisha na kushusha credibility yako.
Kwanza JF siyo Jukwaa la Chadema , kwahiyo ni halali kupost chochote kuhusu lolote , la pili ni hili , hapa jf hatuleti taarifa ili kutafuta sifa, itakuwa maajabu kutafuta sifa kwa ID FAKE , kingine ni hiki , wewe huna mamlaka ya kupangia watu cha kuandika hapa JF na unapaswa kukoma mara moja kuhusu hilo , hata hivyo tayari nishaanza uchunguzi juu yako na nitakubaini tu .
 
Hilo shambulio lingetokea Makonda keshafika kituo cha kazi Arusha kama nawaona CDM na wanaharakati wa Twitter republic wanavyolazimisha ni yeye tu hakuna mwingine.
 
Hebu msome hapa halafu Tafakari

Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haihusiki na kushambuliwa kwa risasi akiwa kwenye gari lake.

Ole Sendeka akizungumza mji mdogo wa Orkesumet leo Jumatatu ya Aprili mosi amesema anaiunga mkono Serikali inayoongozwa na CCM, hivyo haihusiki na jaribio la kutaka kupoteza maisha yake.

"Siwezi kusema CCM imenishambulia kwa risasi, nina imani nayo, hivyo Serikali hii haiwezi kunishambulia kisha niiunge mkono," amesema.

Mwananchi
Kabisa....
Haiwezi kumshambulia halafu aiunge mkono.
 
Filmee
 
CCM wana dramatise hili tukio na Sendeka mwenyewe anahusika katika drama hii.. Mpuuzi mkubwa
 
Back
Top Bottom