Ole Sabaya: Mbowe, nyumba inawaka moto na maridhiano yaanzie ndani ya chama chako

Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Lengai Ole Sabaya amemtaka Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman Aikael Mbowe kuanzisha maridhiano ndani ya chama chake cha chadema kabla ya kutoka nje kulalamika.

Ole Sabaya amedai mbunge huyo anapaswa kutafuta maridhiano ndani ya chama chake kwanza dhidi ya shutuma mbalimbali ikiwemo za matumizi binafsi ya fedha zaidi ya milioni 600 za Chadema alizonunulia matrekta na kuyapeleka Ifakara kufanya biashara zake binafsi za kilimo lakini akiziweka katika matumizi ya kiofisi ndani ya chama hicho.

Ole sabaya pia amemtaka Mbowe atafute maridhiano ya zinapoenda ruzuku za chama hicho ambazo zinaoneka hakuna kazi zinafanya ndani ya chama hicho.

Ole Sabaya pia amemtaka Mbowe kutafuta maridhiano na wagombea wa nafasi za ubunge ndani ya chama hicho wanaolalamikia ada ya milioni 6 kwa ajili ya uchukuaji fomu ya ugombea.

Pia DC huyo amemshangaa Mbowe kulilia tume huru nyingine ilihali yuko mbungeni kwa tume hii huru iliomfikisha huko awamu hii.

Ole Sabaya amemtaka Mbowe kwenda Hai kutafuta suluhu na wananchi waliompigia kura ambao hajawatembelea muda mrefu na sio kutafuta suluhu na Rais Magufuli.

Ole Sabaya ameyasema hayo wakati akigawa pikipiki kwa makatibu wa CCM wa kata 17 zenye thamani ya sh mil 39.1 za wilaya hiyo.

Ili kuwasaidia katika ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi na kusaidia shuguli mbalimbali za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi October.

Sent using Jamii Forums mobile app
CDM busara itumike kwa 2020 Mh. Lema aende kugombea jimbo la Hai, Mh. Nyalandu aende Arusha Mjini na Mh. Mboye agombee Moshi Mjini ili huyo chizi maarifa apate dawa yake sawia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mh. Lengai Ole Sabaya amemtaka Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe Freeman Aikael Mbowe kuanzisha maridhiano ndani ya chama chake cha chadema kabla ya kutoka nje kulalamika.

Ole Sabaya amedai mbunge huyo anapaswa kutafuta maridhiano ndani ya chama chake kwanza dhidi ya shutuma mbalimbali ikiwemo za matumizi binafsi ya fedha zaidi ya milioni 600 za Chadema alizonunulia matrekta na kuyapeleka Ifakara kufanya biashara zake binafsi za kilimo lakini akiziweka katika matumizi ya kiofisi ndani ya chama hicho.

Ole sabaya pia amemtaka Mbowe atafute maridhiano ya zinapoenda ruzuku za chama hicho ambazo zinaoneka hakuna kazi zinafanya ndani ya chama hicho.

Ole Sabaya pia amemtaka Mbowe kutafuta maridhiano na wagombea wa nafasi za ubunge ndani ya chama hicho wanaolalamikia ada ya milioni 6 kwa ajili ya uchukuaji fomu ya ugombea.

Pia DC huyo amemshangaa Mbowe kulilia tume huru nyingine ilihali yuko mbungeni kwa tume hii huru iliomfikisha huko awamu hii.

Ole Sabaya amemtaka Mbowe kwenda Hai kutafuta suluhu na wananchi waliompigia kura ambao hajawatembelea muda mrefu na sio kutafuta suluhu na Rais Magufuli.

Ole Sabaya ameyasema hayo wakati akigawa pikipiki kwa makatibu wa CCM wa kata 17 zenye thamani ya sh mil 39.1 za wilaya hiyo.

Ili kuwasaidia katika ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi na kusaidia shuguli mbalimbali za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi October.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama Sabaya anapaswa kumzungumzia Mbunge ilhali yeye ni mteuliwa wa Rais, anachopaswa kutekeleza ni yale aliyoagizwa na Rais na siyo kuingilia utendaji wa Mbunge kwa kuwa kila mmoja anawajibika kwa namna yake , Mbunge yeye anawajibika kwa Wananchi ! Kwa hiyo wana HAI ndio wanao wajibu wa kumsema mbunge wao .

Ila kusema Ukweli Mbowe kajisahau sana kiasi kwamba hata mkuu wa Wilaya kaona hiyo loop hole aitumie vizuri na kweli ana take advantage ya kumbomoa Mbowe Jimboni,Mbowe toka upewe Ubunge na wana HAI hujataka tena kugeuka nyuma ,yaani ni kama vile umewaona wana Hai wao ni mazuzu kukuchagua wewe wakati wana kero kibao zinazohitaji utatuzi na badala ya kuzitatua wewe umeamua kumuachia Mkuu wa Wilaya akusaidie kuzitatua,Seriously?? Yani ni kama vile baba kaikimbia nyumba kamuachia mjakazi wa kiume mke na watoto akusaidie kulea, in short lazima usaidiwe na huko kusaidiwa siyo bure bali kuna gharama zinaambatana.

Uchaguzi mkuu wa 2020 Mbowe ukirudi bungeni labda CCM waibe kura ili angalau ionekane demokrasia kutendeka lakini sidhani kama raia wa Hai wanakuhitaji tena.
 
Lakini si mnasema kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake bila kuvunja sheria ... kama anayozungumza ni kweli sioni kosa
 
Hawa WAPUMBAVU wa Magufuli vipi hawa.?!
Ya CHADEMA yanakuwashia wapi tukukune wewe mjinga mjinga unae tumwa ujinga na... kufanya ujinga.
 
Back
Top Bottom