Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
mmmh, kuna sababu ya kuwasamehe kodi wachimba madini huku wafanyakazi wakikatwa kodi lukuki?
Halafu haiingii akilini kabisa eti kwa sababu hatumii umeme wa TANESCO basi asilipe kodi, kana kwamba umeme wa TANESCO ni huduma inayotolewa bure. Jamaa alisoma wapi huyu?hawa jamaa ndio wanazidi kuimaliza nchi..misamaha mpaka lini?
Akili timamu itoke wapi? ndio mafisadi wenyewe hao; baada ya kelele za muda mferu leo ndio wanauza sura eti wamegawa madawati ya 15m: hakuna chchote hapo amestaafu serikalini kaingia kwenye dhahabu: anyway tz zaidi ya uijuavyo.Mbona baba yangu analipa kodi na umeme hana? Huyu jamaa ana akili timamu?
Sasa ndio napata picha ya kauli hii. Tanzania ina safari ndefu.