Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.

Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
 
Back
Top Bottom