james ole millya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Millya: Tanzania itaendelea kutekeleza wajibu wake mkuu wa kusukuma juhudi za kuanzishwa EAC

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, James Ole Millya amesema Tanzania ikiwa mwanachama mwaminifu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), itaendelea kutekeleza wajibu wake mkuu wa kusukuma juhudi za mtangamano ili kufikia malengo ya kuanzishwa kwa jumuiya...
  2. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Ole Millya apata chanjo ya Uviko-19; asema kama Rais Samia amechanjwa yeye ni nani asichanjwe

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya leo Agosti 3 mwaka 2020 amechomwa chanjo ya Uviko -19 kama njia mojawapo ya kujikinga na ugonjwa huo hatari duniani. Ole Milya amejipatia chanjo hiyo aina ya Jansen kutoka kampuni ya Johnson & Johnson katika hospitali ya mkoa...
  3. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania James Ole Millya awashukia wapinzani kuhusu Katiba Mpya, ataka Rais Samia asibughuziwe

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Simanjiro na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )James Millya amewashukua wapinzani wa siasa nchini kuacha chokochoko za katiba mpya kwa sasa bali wampe Muda rais aliyeko madarakani kuweza kutekeleza majukumu yake hasa kipindi hiki Taifa lipo kwenye changamoto ya janga...
  4. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

    Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi. Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
Back
Top Bottom