Old is more than gold jamani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Nimemkubuka mno Daudi Kabaka na nyimbo zake 'zilipendwa' , ameimba mapenzi, maisha, vijembe, dini, changamoto mbalimbali, mafundisho starehe! nk nk

Nyimbo kama;
Majengo sirudi tena
Mama yake na Sophia
Koolo kolola
Hata Uwe mzuri
Mombasa sendi tena
Kifo cha mama Kheri
Pombe si majina
Jamani ni nyingi mno mwenye full version ya Daudi Kabaka nitafurahi mno akiwasiliana Nami, naitafuta
 
Koolo kolola si ndio embe dodo limelalia mchanga au!!??
Hivi BAK huna haya masongi na sie wa nineteen twenty kweusi tukumbushie enzi??
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
alikuwa muoga tu,kwanini aliogopa kurudi Mombasa?Nalog off
 
Mie zamani yangu ni gololo.
Now show me how we do ngololooooo
Koolo kolola si ndio embe dodo limelalia mchanga au!!??
Hivi BAK huna haya masongi na sie wa nineteen twenty kweusi tukumbushie enzi??
 
Last edited by a moderator:
Koolo kolola si ndio embe dodo limelalia mchanga au!!??
Hivi BAK huna haya masongi na sie wa nineteen twenty kweusi tukumbushie enzi??

Ladydoctor kesho naleta maombi rasmi ya couple registration If all goes as planned, Judgement is working on it!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ladydoctor kesho naleta maombi rasmi ya couple registration If all goes as planned, Judgement is working on it!!!!

poa my dear.
na nakala hii imfikie mwenyekiti Baba V na mwenzie Erickb52 hawa ndio wahusika wa couple za humu, mie kazi yangu ni kuwakagua tu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…