Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,987
- 168,517
Mbeya 1978
Mbeya 1978
![]()
Na bado inatumika mno!Hapo kweli ni zamani, lakini hiyo pasi inaelekea ni ya enzi hata kabla ya wakati huo!
Limefufuliwa hilo, ndani lina spea hadi za meliHili mbona basi la juzijuzi tu, Cheki namba zake!
Kuna pasi kama hii dobi mtaani kwetu anaitumia, mtoto wa darasa la pili hainyanyui kwa jinsi ilivyo nzito!
![]()
hili mbona basi la juzijuzi tu, cheki namba zake, na watu waliovaa yeboyebo za kisasa
mabasi mengi ya aina hii yalikuwa yanamilikiwa na vijiji vya ujamaa, likiwemo mojawapo lililoitwa mbogo-ulenje!