Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
Asante sana Bujibuji.
Hii picha inakuwa kama ulisimama pale Majengo ukitazama upande wa Ghana au Hospitali ya Mkoa. Au ni Uyole huku? Vile vitalu vya mashamba ni majengo kweli kule? Pale Ghana miaka hiyo ilikuwepo Baa moja maarufu sana ikiitwa Ghana baa kama sikosei, ilikuwa na Radiogram Kuuuubwa ikiwa na vile visahani vya santuli kwa marundo mule ndani. Nachokumbuka zaidi kuna kakangu mmoja alikuja akitokea Lusaka alinipeleka pale kunisikilizisha nyimbo za James Brown kwenye Radiogram. Si unajua tena watanzania walizamia Zambia wakati ule wakirudi walitaka ujue wao ni watu wa kimombo tu. Ha ha ha ha . It was a lot of fun. Mbeya ya wakati ule ilikuwa nzuri ajabu.... Unaikumbuka Baby Shangazi wewe? Na wale watoto waliokuwamo mule ndani unawakumbuka?

Mbeya 1978
![]()