Old is Gold

Old is Gold

dickiedannie

New Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Habari wanazuoni!!!
Ninaomba mwenye kuijua link ya kuudownload wimbo wa Maalim Gurumo__'TUNATOANA ROHO YARABIII, KWA MALI ALIZOACHA BABA'.

Ninawatakieni Majukumu mema
 
Huo ndio old? Unajua Oldies wewe?

Maarufu - Hamza Kalala

Christina Moshi - OSS

Kupatwa kwa Mwezi - Mwenge Jazz

Gaba - OSS

Rehema - Mwenge Jazz

Maliza na zilipendwa ya Klyeruu - Muba Mwin'y shehe

Ila uache kumuibia Gurumo, nenda pale Ubungo External nyumbani kwake akakuuzie acha kumuibia. Na yeye ana haki ya kutesa kama Diamond
 
Back
Top Bottom