Old Bongo Flava

Old Bongo Flava

Kuna sie wahenga wa kitambo ambao hizi mlizoweka tunaziona ni za juzi juzi.

Yaani sie tunasubiria nyimbo kama
1) Afroreign - Jiji la Bongo.
2) Saleh Jabir - Remix zake zote, Nyimbo kiswahili Ila beats za nje.
3) Sugu ft. Mr. Paul - Yoyote, Popote
4) W10N - Makalateli
5) ........ Mauza uza (Mambo Zig zag)
6) .... ft. Maua - Mwanza Zirekebishwe barabara.
7) ..... - Puff after Puff (Crazy Crazy)
8) Mr. Able - Love (R&B ya kizungu)
9) Sugu - Wapi tunakwenda
10) Baggz Malone/KU Crew - Utaona

Sisi tunasaidiwaje sasa?
 

Attachments

Ebana eee daaaahh
noma sana wazee ngoma Ni za moto sanaa midundo hatareeee
muda Ni mchache sana mambo Ni mengi balaaaaa.

Naomba ngoma za Pig black produced by P funk majani.

BOOOOOOOOOOM.
 
Kuna wimbo wa bongofleva naomba mnisaidie kaimba nani, baadhi ya mistari inaimbwa hivi "NIKIKUMBUKA MAPISHI YAKE KISAMVU CHA NAZI, HATA KAMA KILALE KICHACHE..." nautafuta sana
 
Mi Naomba wimbo Wa SIKUTAKA Wa unique sisters og version sio ule waloimba na dudu baya
 
Aliweka ngoma ya nikizipata ya eluka moja kwa moja peponi ...pamoja na aliyeanzisha huu uzi big up Sana ..ngoja nami na mbili 3 nakuja kumwaga sooon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom