Old Bongo Flava

Hongereni sana mlioleta uzi huu, bila shaka sasa nitakuwa naburudika sana maana hizi ndizo akili zilizotumika ipasavyo kutunga na kuimba miziki.
 
Hongereni sana mlioleta uzi huu, bila shaka sasa nitakuwa naburudika sana maana hizi ndizo akili zilizotumika ipasavyo kutunga na kuimba miziki.
ndugu dondosheni za Kibla, kuna ile moja anasema Konzi konkoli, umeme naoutimia kibatali... dah Natureee
 
Nazitamani ngoma karibu zote za wazee wa domokaya. Aliye nazo dondosha tafwasali
 
Naona watu hawataki kuomba nyimbo zingine maana hapo mkuu kaweka tu chache.
 
Mkuu jamaa anajitolea kupandisha ngoma hatumlipi chochote, hayo majina ya wasanii unaweza ongezea mwenyewe. Tusimchoshe mchizi
Majina muhimu mkuu.kuna wengine hizi ngoma pia tunazo,tunaweza kujikuta tunazipakua mara mbili mbili bila mpango.
Kuhusu jamaa kujitolea si tatizo mbona kuna nyuzi hata sisi tunatupia ngoma fair kabisa wala si swala lakulipana humu
 
05
 

Attachments

  • 04 Cheza kidogo.mp3
    6.6 MB · Views: 93
  • 04 Kama unataka demu.mp3
    7.4 MB · Views: 98
  • 04 Kigetogeto_rmx_.mp3
    5.5 MB · Views: 91
  • 04 Machoni kama watu_.mp3
    4 MB · Views: 65
  • 04 Mambo bado.mp3
    3.8 MB · Views: 77
  • 04 Niko busy.mp3
    5.4 MB · Views: 79
  • 04 Nilikupenda.mp3
    5 MB · Views: 93
  • 04 Nimekuchagua wewe.mp3
    5.9 MB · Views: 86
  • 04 Safi hiyo.mp3
    5.9 MB · Views: 73
  • 04 Sitaki tena pombe.mp3
    4.5 MB · Views: 72
  • 04 Yataka moyo_.mp3
    4.1 MB · Views: 78
  • 05 Gado_rmx_.mp3
    6.2 MB · Views: 53
  • 05 Hi.mp3
    5.1 MB · Views: 80
  • 05 Hoi.mp3
    4.9 MB · Views: 95
  • 05 Home.mp3
    5.1 MB · Views: 82
  • 05 Jamaa.mp3
    4.5 MB · Views: 83
  • 05 Kazeze.mp3
    8.7 MB · Views: 88
  • 05 Mambo bado.mp3
    5.4 MB · Views: 57
  • 05 Nilikutenda visivyo.mp3
    6.1 MB · Views: 70
  • 05 Nipe jibu.mp3
    6.2 MB · Views: 90
Back
Top Bottom