Old Bongo Flava

Old Bongo Flava

06
 

Attachments

Majina muhimu mkuu.kuna wengine hizi ngoma pia tunazo,tunaweza kujikuta tunazipakua mara mbili mbili bila mpango.
Kuhusu jamaa kujitolea si tatizo mbona kuna nyuzi hata sisi tunatupia ngoma fair kabisa wala si swala lakulipana humu

Mkubwa

Nikutake radhi sana kwa kushindwa kufanya utakavyo,

kwenye Gb 500 za nyimbo za Bongo flava ( audio na video) ni vigumu sana kufanya hivyo muda unanibana sana

Naomba niishie hapa na nichukue nafasi hii nikuombe wewe unipokee hapa nilipoishia.

Asante, uwe na wakati mwema....Enjoy!
 
Uzi umenibamba sana huu, endeleeni kutupia vitu wakuu, old is gold
 
Dah muanzisha uzi we ni hatar ubarikiwe sana
naomba nyimbo ya ray c ft kisauji
 
wakuu mliokuwepo darisalama enzi hizo,hiyo nyimbo ya gk na TID walimuimbia nani,inaonekana ni true story
 
Naweka kambi hapa, naomba nyimbo hizi kwa leo:
1. Joselyn- Perfume
2. Langa- Matawi ya Juu
3. Pig Black ft Mr Blue- Niskilize mimi
4. Daz Nundaz- Tangazo Maalum

Shukrani wahenga wenzangu.
cc: zacha
cc: Bufa
 
Naomba nyimbo za WAWILI mmoja unitwa Wanene wembamba na Mwingine We mkali zilitamba sana kipindi hicho
 
Aisha aisha unanihangaisha ngaisha usiku silali nababaikabaikaaa nata funga nawe pingu za maishaaax2

Mwimbaji simjui nikiupata huo nitashukuru
 
Wakuu Naitafuta Nyimbo Ya Saigon Ambayo Kwenye Chorus Aliimba "Ndugu Zangu Na Washikaji... Naomba Msamaha... Ushetani Ndio Ulioniponza Na Kunibadili Tabia... Yote Niliyofanya Ni Kwa Sababu Tu Ya Bia..."

Asee Hii Ngoma Ilikua Ni MkwAju Plus Na Ya Solo Thang Homa Ya Dunia
 
Kuna sie wahenga wa kitambo ambao hizi mlizoweka tunaziona ni za juzi juzi.

Yaani sie tunasubiria nyimbo kama
1) Afroreign - Jiji la Bongo.
2) Saleh Jabir - Remix zake zote, Nyimbo kiswahili Ila beats za nje.
3) Sugu ft. Mr. Paul - Yoyote, Popote
4) W10N - Makalateli
5) ........ Mauza uza (Mambo Zig zag)
6) .... ft. Maua - Mwanza Zirekebishwe barabara.
7) ..... - Puff after Puff (Crazy Crazy)
8) Mr. Able - Love (R&B ya kizungu)
9) Sugu - Wapi tunakwenda
10) Baggz Malone/KU Crew - Utaona

Sisi tunasaidiwaje sasa?
 
Aisha aisha unanihangaisha ngaisha usiku silali nababaikabaikaaa nata funga nawe pingu za maishaaax2

Mwimbaji simjui nikiupata huo nitashukuru
Park Lane from Tanga
 
Back
Top Bottom