inauma
Pole sana Boban, Okwi ni mali halali ya Yanga.
inauma
OKWII IKIPOKELEWA JNA muda huu![]()
rage anakula kuku wabovu ulayaMbona Rage haonekani? au hakuja kumpokea?
inauma
Ule ujinga wa kurudisha magoli hautatokea J'mosi.
Pole sana mkuu...inauma
....tunawaweka sawa akina MKUDE, SINGANO na CHANONGO siku wakiwalambisha 5-0 nao mtawatafuta. Okwi hawezi kufuta historia iliyokwisha andikwa.
....tunawaweka sawa akina MKUDE, SINGANO na CHANONGO siku wakiwalambisha 5-0 nao mtawatafuta. Okwi hawezi kufuta historia iliyokwisha andikwa.
Ni kweli kama upande mmoja una furaha bila shaka upande mwingine una maumivu. Sasa Mkuu OKW BOBAN SUNZU haka kajina katakuwaje? Nashauri uitwe Tambwe Kiemba Mapunda. Unauonaje huu ushauri?
Pole sana mkuu...
Ila nakushauri tu ili uache kuumia badili na jina lako hili maana Okwi hayupo Simba, Boban hayupo Simba na hata Sunzu alishaondoka siku nyingi.....
Pole sana aisee...
View attachment 127784
Simba Daima mbele... Pamoja na stress Rage anazotupa tutashinda
View attachment 127784
Simba Daima mbele... Pamoja na stress Rage anazotupa tutashinda
Imani uliyokuwa nayo hata Kocha hana.
Kipindi sisi Yanga tukifungwa 5-0 tulikuwa na issue ya Lloyd Nchunga, sasa hivi Simba wana issue ya Rage tena hot kuliko ile ya Nchunga. Kesho ni zamu yao, wametibuana mno, tukiwakosa kesho huenda tusiwapate tena, natabiri Yanga 6-0 Simba.
Utabiri wako naukubali sana, ungeandika kuwa 6 kwa 2 au kwa 1 ningeona umeidharau Yanga. Napendekeza kesho tucheze 3-3-4
Mkuu upoooooooooooo? Simba 3 Yanga 1Kipindi sisi Yanga tukifungwa 5-0 tulikuwa na issue ya Lloyd Nchunga, sasa hivi Simba wana issue ya Rage tena hot kuliko ile ya Nchunga. Kesho ni zamu yao, wametibuana mno, tukiwakosa kesho huenda tusiwapate tena, natabiri Yanga 6-0 Simba.
Pole sana MkuuKama yeye ndiye aliyeiandika, kwa nini asiifute? Kwa magolikipa mlio nao mtapigwa hata 6! Berko atajifanya ameumia ataingia Mapunda kisha mvua ya magoli itamnyeshea, 'atalokota' hadi akome.