Okwi atua Dar muda huu.

Okwi atua Dar muda huu.

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
OKWII IKIPOKELEWA JNA muda huu
attachment.php
 

Attachments

  • OKWI.jpg
    OKWI.jpg
    59 KB · Views: 1,039
  • OKWI1.jpg
    OKWI1.jpg
    70.3 KB · Views: 299
  • OKWI2.jpg
    OKWI2.jpg
    72.7 KB · Views: 273
Hatuongei sana ,,tunamsubiri mtani jembe,,jumamosi,,,,,,mtaruka sarakasi sana ila tunajua wapi mtaangukia
 
WATU WEWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Mnyama tunamla kiulainiiiii J'mosi. Waache waendelee na migogoro tu na Alshabaab wao wenzao tunafanya mambo ya ukweli.
 
Na atue tu. mbona Simba ilikuwepo bila ya okwi na ilikuwa inabamba ile mbaya?
 
Ndugu Watanzania leo yametimia, yaliyoandikwa na Mwenyezi Mungu, kiumbe mwadilifu na kipenzi cha watu Okwi leo amewasili!
Jmoc hamtamuona okwi wenu atakuwa anazunguka zunguka tu damu changu ya watt wa msimbaz ikibamba
 
Jmoc hamtamuona okwi wenu atakuwa anazunguka zunguka tu damu changu ya watt wa msimbaz ikibamba
Hawajui kama Okwi alikuwa anachezeshwa na Haruna Moshi na Mafisango, hivi kwa nini hawajiulizi msimu wa 2010/2011 hatukufanya vizuri na Okwi alikuwepo.
 
Jmoc hamtamuona okwi wenu atakuwa anazunguka zunguka tu damu changu ya watt wa msimbaz ikibamba

Mlisema hatakuja, sasa huyu hapa, mmesema pia hatacheza, tusubiri J1. Mmewachukua Berko na Mapunda ambao walicheza Yanga mbona sisi hatuna nongwa? Mbona ninyi mmekunja nyuso? Kuna hasara gani kwenu Okwi akicheza Yanga? Acheni roho mbaya bhana.
 
Pale pale Taifa, kwani wewe hujui? Jipe moyo tu na vyuma chakavu vyenu Mapunda na Berko. Sisi ulingoni anasimama Tz One kama kawa. Safari hii tunagonga tano takatifu kulipiza kisasi.

Ule ujinga wa kurudisha magoli hautatokea J'mosi.
 
Back
Top Bottom