Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

Mbona mnatuangusha jamani, si tumeshasema tusicomment kwenye nyuzi za hawa vichaa? Hapa mtazifikisha hizo reply anazozitaka. Badala ya kuhangaika na NRNE. Aisee mnasikitisha sana, mbona ni kiswahili rahisi, kuwasusia nyuzi zao wataacha andika haya mashudu yao. Aah
 
Mkuu hiyo NRNE kiuhalisia ni NRNP.

P inasimama kuwakilisha neno problem.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Iyo Oktoba katiki na bibi yako kule kijijini aliyeezeka nyumba yake kwa makuti
 
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Mwana CCM mwenzangu asante sana. Nadhani tukienda pamoja hivi ni vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…