Athari za Oko

Athari za Oko

mbeyu T

Member
Joined
Aug 22, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Wakuu, ni nini athari ya kuweka oko kwenye tairi mpya nzima ili kuepuka na athari za pancha?, Na je ni nn athari ya kuziba pancha na oko?
 
Oko ni kimiminika ukiweka kwenye tairi chombo kikiwa high speed kitakuwa hakitulii kiminika nacho kwenye tairi kinafanya mwendo
 
Back
Top Bottom