Oh Gosh! But It Was Just A Mistake....

babu mzee wa makamo Asprin u mzima lakini? vipi check up zinaendelea ? au umefunga kwa sababu ya sikukuu
 
Nyie tena mna yenu.

Hivi kula maharagwe kwa siku moja haiwezekani?

mmhh unaweza kupumua kwenye ibada ukaharibu hali ya hewa si unajua hii misa ya ijumaa kuu inavyochukua mda mrefu na watu wengi
pasaka nakuja kula pilau na noah kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom