Oh Gosh! But It Was Just A Mistake....

Oh Gosh! But It Was Just A Mistake....

Hahahahahahaa......kamanda mkuu danganya toto hiyo! kitu kishaingia mdomoni ukiteme? Labda kama sikujui vizuri

mzee ilitemwa aisee.......... hujui hata kiburi huogopa Mungu?
 
Faida za kusali dominika kupitia tivii...na leo umeenda kweli?
Unazijua amri za kanisa? Mojawapo ni hudhuria misa takatifu, dominika na sikukuu zilizoamriwa, funga siku ya jumatano ya majivu usile nyama siku ya ijumaa kuu, pokea ekaristi takatifu hasa wakati wa pasaka!
(biggy uliikumbuka sakramenti ya kitubio?)
Mamushka una kesi kubwa sana ya kujibu.....Tafuta wakili mapema.:banplease:

Not sure kama alikumbuka,na kama alikumbuka alishachelewa,au alipofika maeneo ya church akasahau kilichlmpeleka pale akoondoka !!
We kijana, unaniharibia baraka zangu za Christmass ujue:crying:

haaa we B wewe apo kwen kitubio apo......
:amen:

babu unazeeka vibaya
:welcome:

ila samaki na dagaa sio nyama eeh?
😛lane:


Nyie watu hapo juu, Tumshukuru Mungu kwa mpigo.
 
Guys...!

Babu hakujua kuwa leo ni Good Friday!.....So he did it by mistake.

Hata hivyo, kwani kongoro ni nyama?......Eti?.....!

Babu anawatakia PASAKA njema!

Babu loves you all.....!

ulivyogundua ingebidi ukatoe haja nzito laini laini ili itoke.
 
Yani ni kazi kweli... Hapa nilipo koo linaita na nikienda tu lazima nianze na mshkaki..
Nahisi kama nipo jela

sijui kama ntavuka salama na jua leo linachelewa kuzama..
 
Leo nimebahatika, nimekamata supu ya mkia.

Najua mkia na utumbo si nyama ndio maana haviuzwi buchani.

Nani anabisha?

We nawe kwanini unafufua maiti ya 2011? FYI nimefika maeneo ya Magereza Moshi on my way home.
 
Oh Mama Mia?

Ulikuwa wapi we mrembo. Things are not the same with your absence darling. Usipotee sana mwaya.

Missed and love you too.

yeah babu but your absence is what push me far... Thanks for missing and loving me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom