Oh Gosh! But It Was Just A Mistake....

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Guys...!

Babu hakujua kuwa leo ni Good Friday!.....So he did it by mistake.

Hata hivyo, kwani kongoro ni nyama?......Eti?.....!

Babu anawatakia PASAKA njema!

Babu loves you all.....!
 
tobaaaaaaaaa! Babu umekula kongoro????? Bt kwel sio nyama!!! Umepata dhambi babu, hutafufuka pamoja na Yesu!!! We loves you too babu! Happy easter!
Guys...!

Babu hakujua kuwa leo ni Good Friday!.....So he did it by mistake.

Hata hivyo, kwani kongoro ni nyama?......Ngoja nihamie kwenye mkia au utumbo.....!

Babu anawatakia PASAKA njema!

Babu loves you all.....!
 
tobaaaaaaaaa! Babu umekula kongoro????? Bt kwel sio nyama!!! Umepata dhambi babu, hutafufuka pamoja na Yesu!!! We loves you too babu! Happy easter!

Thanks darling....know what? kila anayekuwa wa kwanza kumtakia babu heri ya chochote anapewa zawadi....

Zawadi yako?......mapacha watatu!

Be blessed Sweetie!!..............Babu loves you vibaya sana!
 
Daaaaaah! More dan thanx babu! Leo ndo nmeona faida ya kuwa wa kwanza!! Mibaraka yoooote ya babu na mijizawadi ishaniangukia mimi, aisee raha tupu, watakaokuja nyuma yangu woooote wataambulia makombo ya baraka za babu! Thanx again babu! I lv u pia! Enjoy!

Amin, amin, nakuambia hakuna atakayekuja nyuma yako....baraka zote za kwako, kazi kwako kufurahia baraka za babu! Usimwambie mai fellow tablet klorokwini....pliiiiiz! ana wivu kama mpemba wa kijitonyama
 
Yan ndo nmeanza kuzifurahia, ujue nini babu, c nlikuwa nmenuna since morning? You know why? My boss c kajifanya mjanja et hakuna cha ijumaa kuu wala gud friday wote muje kazini, c ndo nkamjia na pozi la kununa toka asubuhi? Bt huez amin nmeanza kutabasam kwa mbali kutokana na hiz baraka zako, yan zinamiminika balaa! Thanx na felow tablet cwez kumwambia manake namjua vema, hakawii kuniharibia hili pozi jpya la tabasam! Nahsi atakuwa church mida hii. Hii ni siri yetu wawili tu!

Hahahaaaa...Fellow tablet aende kanisani? Labda kama mama yangu ni mwanaume!...........Sweetie twenzetu kanisani bana....huyo bosi wako tajiri ni mkoloni mamboleo. Na tumeambiwa tajiri kuingia ufalme wa mbinguni ni sawa na Sweetlady kupenya kwenye tundu la kongoro la mbuzi.
 
Oooh Asprin umekula meat leo??! sawa tukutane church, nimeshawahi hapa nkurumah hall mana huwa panashona kila Good Friday!!

Mbarikiwe na huu wimbo

You came from heaven to earth,To show the way
From the earth to the cross, My debt to pay
From the cross to the grave, From the grave to the sky
Lord, I lift Your name on high..

YouTube - Lord I Lift Your Name On High (worship video w/ lyrics)
 
hahahahaha! Kumbe fellow tablet alindanganya eeh!,.. Et alinambia ameokoka na huwa hakosi kwenda kanisani, mbaya zaid akasema anaimba kwaya eti sauti ya3, daaaah bora umenishtua manake nlishaanza kumwingiza rohoni, namtoa nakuweka wewe babu! "Nimemwambia bosi babu kasema niruhusu niende kanisani coz ukicheza ufalme wa mbingu utausoma tu kwenye bibilia", ndo kanipa ruhusa, nisubiri nakuja twende!....lol..
Hahahaaaa...Fellow tablet aende kanisani? Labda kama mama yangu ni mwanaume!...........Sweetie twenzetu kanisani bana....huyo bosi wako tajiri ni mkoloni mamboleo. Na tumeambiwa tajiri kuingia ufalme wa mbinguni ni sawa na Sweetlady kupenya kwenye tundu la kongoro la mbuzi.
 
hahahahaha! Kumbe fellow tablet alindanganya eeh!,.. Et alinambia ameokoka na huwa hakosi kwenda kanisani, mbaya zaid akasema anaimba kwaya eti sauti ya3, daaaah bora umenishtua manake nlishaanza kumwingiza rohoni, namtoa nakuweka wewe babu! "Nimemwambia bosi babu kasema niruhusu niende kanisani coz ukicheza ufalme wa mbingu utausoma tu kwenye bibilia", ndo kanipa ruhusa, nisubiri nakuja twende!....lol..

Hahahaha...kama bosi wako ni mwanamke mwambie babu atamlaani akipata ujauzito ajifungulie thruu kitoa kinyesi, na kama ni dume liambie nitalilaani baioloji yake iamie usoni........haijalishi kama hajatahiriwa LOLZ
 
Mkuu hauko peke yako aisee... Jana nimetua G8 kwanza nikashangaa mbona patupu vile, but sikuwaza sana, nikaagiza ulimi safi... ile napiga nkijiko cha nne tu naskia clouds wanakumbushia tena (maana wakati natoka nilikuwa najisemea kimoyomoyo leo siwezi kusahau)

It was a bad feeling aisee, nikatema mzigo na kuamka fasta, jamaa walinicheka ile mbaya plae g8... Nina imani madogo walifaidi sana ile supu
 
Hahahahahahaa......kamanda mkuu danganya toto hiyo! kitu kishaingia mdomoni ukiteme? Labda kama sikujui vizuri
 
Faida za kusali dominika kupitia tivii...na leo umeenda kweli?
Unazijua amri za kanisa? Mojawapo ni hudhuria misa takatifu, dominika na sikukuu zilizoamriwa, funga siku ya jumatano ya majivu usile nyama siku ya ijumaa kuu, pokea ekaristi takatifu hasa wakati wa pasaka!
(biggy uliikumbuka sakramenti ya kitubio?)
 
Not sure kama alikumbuka,na kama alikumbuka alishachelewa,au alipofika maeneo ya church akasahau kilichlmpeleka pale akoondoka !!
 
Faida za kusali dominika kupitia tivii...na leo umeenda kweli?
Unazijua amri za kanisa? Mojawapo ni hudhuria misa takatifu, dominika na sikukuu zilizoamriwa, funga siku ya jumatano ya majivu usile nyama siku ya ijumaa kuu, pokea ekaristi takatifu hasa wakati wa pasaka!
(biggy uliikumbuka sakramenti ya kitubio?)

haaa we B wewe apo kwen kitubio apo......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom