JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Sawa! Ushauri mzuri.. Kwahiyo wasome comb ngumu halaf???
bora mie nimalize darasa angu la saba baba angu ana pesa niendeze bashara za baba angu nyumba na gali napewa nyi someni mkimaza njoo nikuajili upate cha kueka mdomoni na watoto ako
Unasoma COMB kutokana na matokeo yako,
je,aliyefeli masomo ya sayansi atasomaje COMB ya PCM,PCB,CBG na ECA?
acha hizo.
PCB na PCM ndo mpango mzima.JamiiForums,