JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Mtoa hoja wewe ndo dhaifu 100%. Hujajenga hoja kutuconvise nani alisoma strong course Tanzania na katufikisha wapi kama nchi?
JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
watakaaa tu wanaona sifa mtaani kuona wanasona kombination naarufu eee
Hawajielewi cha msingi kila mtu na matarajio yake
Hakika umenena
Dogo upo right.maana comb kama HKL,HGL,KLF ni kama viti maalum bungeni zimewekwa kuwasaidia akina Dada wafike chuoni.sasa nashangaa dume zima limevaa suruali anasoma comb za viti maalum
wajinga nliokuwa nasoma nao wakinicheka why nimesoma HGL kwa sasa wako mitaani
form 6 walichemka vibaya sana wakijisifu na PCM,PGM zao
kwa sasa nina vidigree vyangu vitatu yaani undergraduate na post 2 sio phd
life iko super kiasi chake siombi kwa mtu wala sijafisadi cha mtu
kwa akili zenu za kitoto mnaandika upuuzi humu kakojoeni mlale hamna adabu kuandika ujinga kama huu.
soma kitu unachoweza na sio kufuata mkumbo..
Attention seeker, jana aliandika mada kama hii akapata wachangiaji wengi, pages kadhaa, leo kaandika the same shit, kapata wachangiaji wengi, mpuuzeni na mada zake za kitoto..