JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Combi ngumu ni zipi na rahisi ni zipi? Ninachojua, malengo ya mtu katika maisha ndio huamua mtu asome combi ipi! combi za udaktari ni tofauti na za uhasibu ama uanasheria! Pia, hakuna mtu aliyewahi kusoma combi 'zote' kisha akaja na upembuzi kuwa PCM ni rahisi kuliko ECA, CBG au KLF.Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
wajinga nliokuwa nasoma nao wakinicheka why nimesoma HGL kwa sasa wako mitaani
form 6 walichemka vibaya sana wakijisifu na PCM,PGM zao
kwa sasa nina vidigree vyangu vitatu yaani undergraduate na post 2 sio phd
life iko super kiasi chake siombi kwa mtu wala sijafisadi cha mtu
kwa akili zenu za kitoto mnaandika upuuzi humu kakojoeni mlale hamna adabu kuandika ujinga kama huu.
soma kitu unachoweza na sio kufuata mkumbo..
Wewe lazima utakuwa ulitaga?!!!!!
BROTHER! :nono:
me nilipitia PCB! I took my hat off to all who took anything with 'H' it. Niliona ni bora nipoteze muda kuderive formula mweyewe through numerous possible angles, alafu nishindwe kusolve swali kuliko kuliko kuandika miaka na majina ya uongo. HISTORY WAS A NIGHMARE FOR ME! IT STILL IS.
Kwahiyo na mimi ningepost kama wewe ningesema 'ogopeni kuchukua combi dhaifu kama PCB, PCM, CBG'.