Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

Ndio maana napenda wanawake wenye macho makubwa.

Kumbe ni jenetiki mutation Toka kwa Babu zangu ikiniondoa kwenye hatari
 
Kuna vitu umeacha
  1. Pua
  2. Midomo


Usije ukathubutu kurusha ndoana hapo utajuta
 
Mkuu yani kwa staili hii ndo kuoa bai bai kabisa😁😁😁😁

Wangu huyu mbona ana macho makubwa yasiokuwa seksi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

lakini ana roho nzuri au ndo false possesion nijiandae kwa kitu kizito hapo baadaeπŸ˜‚
Kwakweli amedanganya Mimi mbonayangu makubwa na Sina roho mbayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Neuro hebu njoo nitetee mdogowangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…