Ogopa sana watu wenye dalili hizi kwenye kazi au biashara yako

Punguza jaziba na ututoe sisi watu wapole kwenye hilo kundi mkuu! Na utambue samaki mmoja hutolewa huyohuyo tu. Sasa sisi wakinywa tumefikaje kwenye hizi jaziba zako nimemind siyo poa. Ila naomba niajiri mkuu
Mim siwaongelei nyiny wakimya kawaida..wanajijua watu naongelea hapa
 
Mim siwaongelei nyiny wakimya kawaida..wanajijua watu naongelea hapa
Asante. Ila mtoe mwenzio mahabusu mmalizane vzr mkuu nae asherehekee 2022 akiwa na familia yake boss. Unajua huenda umemweka huko ili ajifunze ila umeathiri watu wengi sana walio nyuma yake yani mama yake, mke wake watoto wake na wengine wanaomtegemea yeye! I hope hajakufanyia powa ndiyo maana umemuadhibu. But upokee mwaka 2022 na uunze poa bila quarrel na watu japo ni ngumu kuishi ulimwengu huu bila kuingia kwenye sintofahamu na kiumbe binadamu🌞
 
Mimi nabadili sana line.

Lakini sina tatizo lolote.

Mtandao ukibadili vifurushi

Na mimi nabadili laini
 
waogope tu ila sipendi kupokea simu ngeni Yan utapiga Hata mara 100 sipokei bora utume text
 
1. Ambaye mara nyingi anazima simu
2. Ambaye mara nyingi hapokei simu
3. Ambaye simu yake siku zote ina matatizo
4. Ambaye anabadili sana line za simu
5. Humpati mpaka akutafte yeye kwenye simu
6. Akiwa na wenzie ni mcheshi ila akiwa na wewe ni mkimya sana
7. Ana upole wa kinafki

Well, kwa sisi ambao tumeajiri watu na pia tunaji-engage kwenye biashara ukiona mtu ana tabia hizo au kuna mazingira hayo katika mtu unayetaka kufanya nae biashara au kumwajiri kimbia haraka ikiwezekana mtukane kabla hata hamjafika kokote.

Yaani hata kama hajakufanya chochote mporomoshee matusi hadi aseme nimefanyaje? Akikushitaki poa tu maana utakuwa umejiepusha na hasara.

Mimi siku hizi sicheki na nyani, nikiona dalili hizi aisee kaa mbali nami.

Nawaelewa sasa wahindi kwanini wanachukiwa sana na waswahili. Mswahili ni mtu mshenzi sana. Na nitaendelea kuwakaanga vilivyo

Sasa naelewa why utasikia “boss yule ana roho mbaya”.

Nimetoka mfanya mtu kitu mbaya muda si mrefu na hatoki mpaka wiki ijayo!
UMEPIGWA TUKIO LA KITU KIZITO NINI MKUU?
 
Upo sahihi kabisa 100%.

Watu wengi na sio weusi pekee popote ni majanga.

Mtu asipokuwa mjasiriamali hawezi elewa nini unaongelea. Ila usemalo kuna kubwa la kujifunza
 
Back
Top Bottom