Ogopa sana watu wenye dalili hizi kwenye kazi au biashara yako

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
1. Ambaye mara nyingi anazima simu
2. Ambaye mara nyingi hapokei simu
3. Ambaye simu yake siku zote ina matatizo
4. Ambaye anabadili sana line za simu
5. Humpati mpaka akutafte yeye kwenye simu
6. Akiwa na wenzie ni mcheshi ila akiwa na wewe ni mkimya sana
7. Ana upole wa kinafki


Well, kwa sisi ambao tumeajiri watu na pia tunaji-engage kwenye biashara ukiona mtu ana tabia hizo au kuna mazingira hayo katika mtu unayetaka kufanya nae biashara au kumwajiri kimbia haraka ikiwezekana mtukane kabla hata hamjafika kokote.

Yaani hata kama hajakufanya chochote mporomoshee matusi hadi aseme nimefanyaje? Akikushitaki poa tu maana utakuwa umejiepusha na hasara.

Mimi siku hizi sicheki na nyani, nikiona dalili hizi aisee kaa mbali nami.

Nawaelewa sasa wahindi kwanini wanachukiwa sana na waswahili. Mswahili ni mtu mshenzi sana. Na nitaendelea kuwakaanga vilivyo

Sasa naelewa why utasikia “boss yule ana roho mbaya”.

Nimetoka mfanya mtu kitu mbaya muda si mrefu na hatoki mpaka wiki ijayo!
 
Inategemea na kazi anayojihusisha nayo, kwa mfano mimi yanaweza pita masaa 10+ sijashika simu yangu lakini hainizuii kurespond baada ya kuja kuishika kama nilitafutwa.
 
Siku hizi sipokei simu hovyo hovyo hasa namba ngeni, Kwahiyo niogopwe?
Inaategemea na mtu...kama si mfanya biashara sawa...kuna ni mtu wa kawaida sawa...ila kama una something to offer lazima uogope hao watu

Tapel hamfat mtu asie na kitu
 
Inategemea na kazi anayojihusisha nayo, kwa mfano mimi yanaweza pita masaa 10+ sijashika simu yangu lakini hainizuii kurespond baada ya kuja kuishika kama nilitafutwa.
Yes inategemea..na mtu huwez msumbua mtu mida ya kaz..mim naongelea wale mnajua mna associate na kitu flan hala mtu haelewek..ogopa..si mtu mzur huyo
 
Punguza jaziba na ututoe sisi watu wapole kwenye hilo kundi mkuu! Na utambue samaki mmoja hutolewa huyohuyo tu. Sasa sisi wakinywa tumefikaje kwenye hizi jaziba zako🤔🤔🤔 nimemind siyo poa. Ila naomba niajiri mkuu😂😂
 
Back
Top Bottom