SupuyaPweza
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 914
- 472
mbona wengi wameufyata?!... hiyo soi ishara nzuri kwa mbwa wa maana!? inakaribiana na jibaba lililovaa kata k...
Kwanini uogope sana wakati mbwa mwenyewe ni mwoga, huwakimbia maadui!!Huyo ni mbwa koko... Na hapo kaufyata mkia akionesha kuwa anaogopa..
Reading between lines naona mtu mzima mshana jr kaamua kututolea uvivu wa tz kwa kuwa na woga kama kabila ya hoa mbwa koko... Sifa kubwa ya mbwa koko no kubweka kila anapomwona mwenyeji wa nyumbani kwake ila akitokea adui au mgeni yeye hukimbia na kuufyata mkia.
Kabila ya mbwa koko... Ogopa sana.
Kwanini uogope sana wakati mbwa mwenyewe ni mwoga, huwakimbia maadui!!
Who Cares? Anyway! Umehitimu ile degree maarufu ya uchochezi na uchonganishiTHINKING WITH A POLITICALLY ALLIGNED MIND...YOU ARE GIVING A BIG PICTURE OF WE TANZANIANS AT THIS CURRENT STATE....sorry ila sio mchochezi but my simple interpretation of your displayed art-work.
na hiyo ndiyo kazi kubwa ya sanaa..kutoa multiple interpretation to the society.
back to your thread "KWANINI WATANZANIA WAOGOPE WAKATI MBWA MWENYEWE NI MWOGA NA HUWAKIMBIA ADUI ILA HUBWEKA NA KUONYESHA YUPO PALE WANAPOINGIA WENYEJI NA WAKAAZI WA MJI HUO?"
JIBU NI JEPESI SANA....inawezekana kabisa kuwa tunamwogopa mbwa wetu tuliyemfuga kwani anaweza kukuuma au kukungata ili kukuonyesha kuwa ugali unaompa anautumia kutekeleza majukumu yake ya kiulinzi...sema tunalia na mengi pale mbwa wetu anaposhindwa kubweka na kuwangata hao maadui wetu wanaotoka nje na kuja kutuvamia hapa nyumbani kwetu.
na inasikitisha sana kwakuwa mbwa ni wetu...tumemfuga wenyewe tunamuhudumia wenyewe na mwisho wa siku anatungata wenyewe....INAUMIZA SANAAA.


Ni mkuu mshana jr uyo tata muraaTata utakanatwa na jeshi ra Porisi kwa uchochezi
soma mkuu
yan unamaana gan, tuogope mbwa au?Kwanini?
Hawa ni kabila la GREYHOUNDNaona hacker bado anamiliki mshana jr hii ni kabila gani eti ?
![]()
Sahihisho ni doberman mkuu....Mbona anataka kufanana na doperman