Usinambie ni wakuryaKitaalam sijui kwakweli ila wako very very agressive halafu wana mbio jaguar kasingiziwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Uchochezi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji3] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kila kitu uchochezi[emoji125] [emoji125] [emoji125] Uchochezi
Thanks for the needful in kiswahili we say that asante sana and in Kisukuma language we say wabheja sanaThe Africanis is a landrace of South African dogs. It is believed to be of ancient origin, directly descended from hounds and pariah dogs of ancient Africa, introduced into the Nile Valley from the Levant. The Swahili name for the breed is umbwa wa ki-shenzi meaning common or mongrel or “traditional dog”. Africanis is also an umbrella name for all the aboriginal dogs in southern Africa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unakaribia kuhitimu kozi ya uchochezi but who cares anyway! May be the almighty bob[emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyo ni mbwa koko... Na hapo kaufyata mkia akionesha kuwa anaogopa..
Reading between lines naona mtu mzima mshana jr kaamua kututolea uvivu wa tz kwa kuwa na woga kama kabila ya hoa mbwa koko... Sifa kubwa ya mbwa koko no kubweka kila anapomwona mwenyeji wa nyumbani kwake ila akitokea adui au mgeni yeye hukimbia na kuufyata mkia.
Kabila ya mbwa koko... Ogopa sana.
![]()
![]()
Sijui kama kuna ujumbe wa picha kutoka kwa mshana jr, Ila kama hakuna nahisi hilo kabila wanaliita greyhound. Ni aina ya mbwa wanaotumika kwenye mashindano ya mbio. Kwa wanyama yeye ni wa pili kwa mbio
Naona hacker bado anamiliki
mshana jr hii ni kabila gani eti ?